Tofauti na Mategemeo yang!

mbweta

JF-Expert Member
Dec 10, 2010
600
81
Habari zenu jamanii. Mie kuna dem nlikuwa namfukuzia mda mrefu sana na ni mzuri sana tu. Nikabahatika kumpata ila nkagundua anatatizo katika mwili wake yani Mwanamke kapooza wabaridi hata nimkumbatie vip yan hana joto tofauti na wanawake wengine unakuta mtu wa moto kwel kwel kama jiko. Mara ya kwanza nilihisi labda anaogopa ivo nimejarib kufanya vivo katika vipind tofauti lakin yupo vilevile ili kwang ni tatizo kwan kwanza upunguza presha ya mchezo, mbili tu tunaanza agana. Pliz hapa nin tatizo?
 
pole.........
tafuta heater ya kumpashia moto.........temperature itapanda tu!!!!!!!
 
Huyo atakuwa anatoka kwenye kingdom Animalia, Phylum -Chordata katika Class ya Reptiles.........cold-blooded !! Hiyo baridi iko kwenye ngozi tu (mwili wa juu au mpaka 'ndani'? .............pengine ndo maumbile yake bwana
 
Yan ni ngozi ndo baridi. Ila unaposema ndan cjajua wamananisha nin yan tumboni kwa ndan
 
Duh wa baridi, ina maana sio binadamu au? maana kila binadamu anajoto fulani hv
 
Habari zenu jamanii. Mie kuna dem nlikuwa namfukuzia mda mrefu sana na ni mzuri sana tu. Nikabahatika kumpata ila nkagundua anatatizo katika mwili wake yani Mwanamke kapooza wabaridi hata nimkumbatie vip yan hana joto tofauti na wanawake wengine unakuta mtu wa moto kwel kwel kama jiko. Mara ya kwanza nilihisi labda anaogopa ivo nimejarib kufanya vivo katika vipind tofauti lakin yupo vilevile ili kwang ni tatizo kwan kwanza upunguza presha ya mchezo, mbili tu tunaanza agana. Pliz hapa nin tatizo?

Wanawake tuna taabu!!! mmmmmmh... ukute mdada wa watu anajua mambo yoote 6/6 ni mwakemwake... mimi ndo maana hushauri saana matatizo kama haya its beta kama ukamwambia mhusika maana kuna means anaweza tafuta akaanda hio joto unayo hitaji....
 
Huyo atakuwa anatoka kwenye kingdom Animalia, Phylum -Chordata katika Class ya Reptiles.........cold-blooded !! Hiyo baridi iko kwenye ngozi tu (mwili wa juu au mpaka 'ndani'? .............pengine ndo maumbile yake bwana

Hili jibu nimependa... very logical
 
Hayo ni kawaida yanasababishwa na mambo mengi,jaribu kuwaona wataalam wataondoa tatizo hilo,ni dogo sana
 
Jaribu kuchunguza ukoo wake, yawezekana ana genes za Reptilia.
 
ntoto una akili weyee! kuna mdada aliambiwa ''uko loose sana'', akamjibu jamaa ''nadhani ww ndo uko too small aka kibami*', lolliest!
mbweta,hebu cheki kama una malaria aisee

Labda ye yuko normal
Ila we ndio wa moto ..
 
Huyo sio binadamu huenda unalala na furush la pamba! Binadamu wote wanajoto la kawaida lisilo zidi nyuzi joto 37 [SUP]0[/SUP]C. Sasa huyo wa kwako ndugu sijui atakuwa ametoka sayari gani?
 
Habari zenu jamanii. Mie kuna dem nlikuwa namfukuzia mda mrefu sana na ni mzuri sana tu. Nikabahatika kumpata ila nkagundua anatatizo katika mwili wake yani Mwanamke kapooza wabaridi hata nimkumbatie vip yan hana joto tofauti na wanawake wengine unakuta mtu wa moto kwel kwel kama jiko. Mara ya kwanza nilihisi labda anaogopa ivo nimejarib kufanya vivo katika vipind tofauti lakin yupo vilevile ili kwang ni tatizo kwan kwanza upunguza presha ya mchezo, mbili tu tunaanza agana. Pliz hapa nin tatizo?

To me...it sounds like wewe ndio tatizo, na sio yeye! Kama unataka kuthibitisha hilo, nendeni hata kwenye kidispensary, muombeni nurse awapime joto la mwili wote wawili, au jumlisha na mwanamke mwingine ambaye wewe unaamini ni 'wa moto kama jiko'....utaona joto lenu kaita sehemu mbali mbali za mwili ni sawa!

Kitu kingine kinachoonyesha ni tatizo lako zaidi, na kwa kuperform chini ya kiwango chako ulichozoea, hiyo ni kwa sababu tu haum'appreciate' huyo dada kwani kichwani unamchukulia hayuko sawa...you need counselling na psychologist man!
 
Back
Top Bottom