Tofauti kati ya wanaume na wanawake.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kudadeki nimecheka sana
 
i admit that, wanawake wana nguo nyingiii hatar , cha kushangaza inafika siku ya safari hata nguo ya kuvaa anaanza kuchagua then atakwambia "nivae nguo gani babe" mi huwa najibu vaa night dress nguo kuvaa problem

√Kingine ni muda asee, najua mwanamke mkiwa mnatoka akikwambia nisubiri heeee, yani toa nguo anza kufua itakuwa ni zaidi ya lisaa, anyway hawako makini na swala la ku keep time
 
Mwanamke akikwambia umchagulie nguo au viatu vya kuvaa usimchagulie mkuu.We wanakuwa wameshachagua ila ankusare tu......

.......Kweli kabisa kwenye utunzaji muda, wanaume ni kupuuzia details.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…