LED ni advanced model ya LCD,
Hata muonekano wapicha, LED ni nzuri zaidi kuliko LCD.
Smart ni functioning ya ndani ya TV,
Hizi Smart waweza kuzitumia kama unavyotumia simu ku-download au ku watch movie online na mengineyo.
So inaweza ikawa ni LED na ni Smart TV hapo hapo