Tofauti kati ya RESUME na CV

Tofauti kati ya RESUME na CV

Kuna nchi wanatumia resume as a CV, mfano European countries. Ila kuna nchi wanatumia vyote kwa pamoja resume na CV.
Kwa Tanzania inategemea na organization unayoombea kazi. Organization ikisema three pages CV, ujue hapo uwasilishe resume. Wakiwa kimya wasilisha CV

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom