Toyota harrier lexusSi tofauti ya viwanda vilivyotengenezwa izi gari,. nauliza tofauti za kiutendaji, technicaly and mechnicaly mfano engine inayokunywa mafuta zaidi, yenye kasi zaidi, ipi ambayo iko salama zaidi iwapo kwenye mwendo, uimara wa body na imbayo iko comfortable zaidi ukiwa ndani, pia na mengine ambayo nyie mnayajua kama tofauti kati ya izi gari mbili?
Nijuavyo mm Lexus ni premium brand ya Toyota........sasa hapo mdau cjui alikua anamaanisha nnToyota harrier lexus
Kaka sijasema xtrail old model nimesema xtrail new modeli na pia naomba unipe vigezo ulichotumia mpaka ukaiclasify nishani extrail kwenye kundi la rav 4 na si harrier?Kwanza Nissan Xtrail na Harrier hazipo kwenye class moja Nissan Xtrail inaenda class sawa na Rav 4,
Kampuni za magari i.e Toyota, Nissan, Mitsubishi, Mazda, Honda, Hyundai hua yanaunda magari kwa kutarget watu aina fulani kulijua hilo unaangalia je hii gari competitor wake wa kampuni ingine ni nani, pia utaangalia nafasi ya hio gari, ujazo waengine etc mfano Toyota Crown Athlete, Rival wake ni Nissan Fuga, Brevis, ni Nissan Skyline,Toyota Alphard ni Nissan Elgrand etc haijalshi ni old model wala new model hivyo Harrier kwa Nissan itapambana na Murano ndo zipo kwenye same classKaka sijasema xtrail old model nimesema xtrail new modeli na pia naomba unipe vigezo ulichotumia mpaka ukaiclasify nishani extrail kwenye kundi la rav 4 na si harrier?
Jibu zuri..na amemaanisha harrier lexus ipo juu kwa kila kitu..kwamba huwezi fananisha nissan na harrier..kama ni ulikua unahitaji a choice hapo go for harrier.Kampuni za magari i.e Toyota, Nissan, Mitsubishi, Mazda, Honda, Hyundai hua yanaunda magari kwa kutarget watu aina fulani kulijua hilo unaangalia je hii gari competitor wake wa kampuni ingine ni nani, pia utaangalia nafasi ya hio gari, ujazo waengine etc mfano Toyota Crown Athlete, Rival wake ni Nissan Fuga, Brevis, ni Nissan Skyline,Toyota Alphard ni Nissan Elgrand etc haijalshi ni old model wala new model hivyo Harrier kwa Nissan itapambana na Murano ndo zipo kwenye same class
sawasawa mkuu..umetoa elimuKampuni za magari i.e Toyota, Nissan, Mitsubishi, Mazda, Honda, Hyundai hua yanaunda magari kwa kutarget watu aina fulani kulijua hilo unaangalia je hii gari competitor wake wa kampuni ingine ni nani, pia utaangalia nafasi ya hio gari, ujazo waengine etc mfano Toyota Crown Athlete, Rival wake ni Nissan Fuga, Brevis, ni Nissan Skyline,Toyota Alphard ni Nissan Elgrand etc haijalshi ni old model wala new model hivyo Harrier kwa Nissan itapambana na Murano ndo zipo kwenye same class
Nissan Xtrail labda ni class moja na Kluger?Kampuni za magari i.e Toyota, Nissan, Mitsubishi, Mazda, Honda, Hyundai hua yanaunda magari kwa kutarget watu aina fulani kulijua hilo unaangalia je hii gari competitor wake wa kampuni ingine ni nani, pia utaangalia nafasi ya hio gari, ujazo waengine etc mfano Toyota Crown Athlete, Rival wake ni Nissan Fuga, Brevis, ni Nissan Skyline,Toyota Alphard ni Nissan Elgrand etc haijalshi ni old model wala new model hivyo Harrier kwa Nissan itapambana na Murano ndo zipo kwenye same class
I think Rav 4..Nissan Xtrail labda ni class moja na Kluger?
Nimeiendesha hii gari..ya kawaida sanaa..mfumo wake wa suspension sio mzuri..inadunda ata kwenye bumps ndogo hadi ndani unaishikia..ina sensor nyingi ad inabore. kwenye driving experience yangu ya gari hii ndio gari ya ovyo kuiendesha..i may prefer hurrier new model than this shit up there..ni gari kali ila its not a value for money you can pay for..
Unasemea hii kitu?
Hapo umefananisha Kati ya uchafu na uchafu, Hakuna gari Hapo zaidi ya kuwa ni usafiri tu wa kawaida!Si tofauti ya viwanda vilivyotengenezwa izi gari,. nauliza tofauti za kiutendaji, technicaly and mechnicaly mfano engine inayokunywa mafuta zaidi, yenye kasi zaidi, ipi ambayo iko salama zaidi iwapo kwenye mwendo, uimara wa body na imbayo iko comfortable zaidi ukiwa ndani, pia na mengine ambayo nyie mnayajua kama tofauti kati ya izi gari mbili?
Hii ni itakuwa ni hybrid.Toyota harrier lexus