Tofauti kati ya Nissan Xtrail new model na Toyota Harrier lexus

ankai

JF-Expert Member
Nov 25, 2017
3,280
4,236
Si tofauti ya viwanda vilivyotengenezwa izi gari,. nauliza tofauti za kiutendaji, technicaly and mechnicaly mfano engine inayokunywa mafuta zaidi, yenye kasi zaidi, ipi ambayo iko salama zaidi iwapo kwenye mwendo, uimara wa body na imbayo iko comfortable zaidi ukiwa ndani, pia na mengine ambayo nyie mnayajua kama tofauti kati ya izi gari mbili?
 
Toyota harrier lexus
 
Kwanza Nissan Xtrail na Harrier hazipo kwenye class moja Nissan Xtrail inaenda class sawa na Rav 4,
 
Kaka sijasema xtrail old model nimesema xtrail new modeli na pia naomba unipe vigezo ulichotumia mpaka ukaiclasify nishani extrail kwenye kundi la rav 4 na si harrier?
 
Kampuni za magari i.e Toyota, Nissan, Mitsubishi, Mazda, Honda, Hyundai hua yanaunda magari kwa kutarget watu aina fulani kulijua hilo unaangalia je hii gari competitor wake wa kampuni ingine ni nani, pia utaangalia nafasi ya hio gari, ujazo waengine etc mfano Toyota Crown Athlete, Rival wake ni Nissan Fuga, Brevis, ni Nissan Skyline,Toyota Alphard ni Nissan Elgrand etc haijalshi ni old model wala new model hivyo Harrier kwa Nissan itapambana na Murano ndo zipo kwenye same class
 
Jibu zuri..na amemaanisha harrier lexus ipo juu kwa kila kitu..kwamba huwezi fananisha nissan na harrier..kama ni ulikua unahitaji a choice hapo go for harrier.
 
Kampuni za magari i.e Toyota, Nissan, Mitsubishi, Mazda, Honda, Hyundai hua yanaunda magari kwa kutarget watu aina fulani kulijua hilo unaangalia je hii gari competitor wake wa kampuni ingine ni nani, pia utaangalia nafasi ya hio gari, ujazo waengine etc mfano Toyota Crown Athlete, Rival wake ni Nissan Fuga, Brevis, ni Nissan Skyline,Toyota Alphard ni Nissan Elgrand etc haijalshi ni old model wala new model hivyo Harrier kwa Nissan itapambana na Murano ndo zipo kwenye same class
sawasawa mkuu..umetoa elimu
 
Nissan Xtrail labda ni class moja na Kluger?
 
9ef6a1f8fb687298671888251c924f53.jpg

Unasemea hii kitu?
 
9ef6a1f8fb687298671888251c924f53.jpg

Unasemea hii kitu?
Nimeiendesha hii gari..ya kawaida sanaa..mfumo wake wa suspension sio mzuri..inadunda ata kwenye bumps ndogo hadi ndani unaishikia..ina sensor nyingi ad inabore. kwenye driving experience yangu ya gari hii ndio gari ya ovyo kuiendesha..i may prefer hurrier new model than this shit up there..ni gari kali ila its not a value for money you can pay for..
 
Thou simaanishi nimeimiliki..a test drive tu kuna mtu alikuja nayo nikawa namtembeza nayo town for three days..
 
Si tofauti ya viwanda vilivyotengenezwa izi gari,. nauliza tofauti za kiutendaji, technicaly and mechnicaly mfano engine inayokunywa mafuta zaidi, yenye kasi zaidi, ipi ambayo iko salama zaidi iwapo kwenye mwendo, uimara wa body na imbayo iko comfortable zaidi ukiwa ndani, pia na mengine ambayo nyie mnayajua kama tofauti kati ya izi gari mbili?
Hapo umefananisha Kati ya uchafu na uchafu, Hakuna gari Hapo zaidi ya kuwa ni usafiri tu wa kawaida!
 
Gari sio kulinunua bali kulimaintain kwa maana ya mafuta na kufanya service, repair na maintanance mbali mbali.

Kwanza hayo magari hayapo class moja hivyo huwezi kufanya fair comparison. Kubwa

Angalia budget yako unaweza kuafford lipi kununua na kuliendesha. Pili sikiliza mouo wako sio watu wanasema nini.

Kununua gari ni sawa na kuoa mke au kuolewa huchaguliwi unachagua kile kikufaacho
 
Harrier is the best car to buy btn the two..everythng on harrier is cheaper compared to nissan..labda ulaji wa mafuta unaweza kuendana ila service and maintainance nissan expensive zaidi..

Performance harrier ipo juu sana compared to extail or either upate extail manual ambayo ina speed 220 na nimeiona moja tu kwa experince yangu ya kila siku tena ya usalama..

Extail gari mbovu hazina mfano.

Harrier ni mayai ila durable compared to extrail.

Harrier new model ipo very comfortable compared to extrail..

Extrail sio class za harrier..harrier compare na suzuki glande new model..
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom