BABU KIZEE
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 452
- 72
Napata shida kutofauti haya maneno mjuzi anifafanulie nashindwa kuelewa mpenzi neno ili litumike kwa mtu wa namna gani na mchumba litumike kwa mtu wa namna gani, msaada naitaji kwenu wajuzi.
^^
Mchumba kwa maana ya asili yake,,ni mtu ambaye mnaishi kwa kupendana pasipo kushiriki tendo la ngono.
Mpenzi ni mtu ambaye aweza kuwa mchumba au mke ila mnashiriki tendo la ngono.
Kwa uelewa wangu wa graduation ya chekechea

mmmh, Himidini mi mbona hata rafiki zangu wa kike huwa na waita 'mpenzi' kuonyesha na wajali na nina wapenda, kumbe ina maana yake mmmh!!!!!!!
^^
Lady doctor best
mekumisije? Hafu huyo rafikio mpenzi ni moja kati ya aina tano za urafiki,,urafiki wa kutunziana siri
unamwita kunogesha urafiki
^^
nimekumis pia best yangu, halafu nikuambie kitu best... mie rafiki yangu mkubwa ninae mpa siri zangu ni my dear mama, hao wengine ni stori tu na maongezi ya hapa na pale.
Mpenzi
Mtu ambae manfanya nae mambo pamoja mkishikiana bila kuwa na ajenda ya siri kti yenu,huyu sio lazima ihusishwe ngono
Mchumba
Huyu ni mtu wa jinsia tofauti na wewe ambae mmekubaliana baada ya muda fulani mtaoana na kuwa mke na mume!