mkadiriajimajenzi
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 549
- 608
Kufa inatumika katika ajari au majanga, kufariki inatumika mtu baada ya kupata ugonjwa fulaniKiswahili fasaha ni kuzaa ndio h4eshima kamili ya mwanamke hiyo kujifungua sijui nini ni mazoea tu .. je na anayefanyiwa operation utasema kajifungua...???
kajifungua kwa upasuajiKiswahili fasaha ni kuzaa ndio h4eshima kamili ya mwanamke hiyo kujifungua sijui nini ni mazoea tu .. je na anayefanyiwa operation utasema kajifungua...???
amejifungua kwa oparationKiswahili fasaha ni kuzaa ndio h4eshima kamili ya mwanamke hiyo kujifungua sijui nini ni mazoea tu .. je na anayefanyiwa operation utasema kajifungua...???
Mie nauliza nini tofauti Kati ya kufa na kufarikiWatu wengi wamekua wakidhani kwamba maneno haya mawili yana maana iliyo sawa,la hasha,
Kujifungua - Ni kitendo cha mwanamke kumtoa mtoto ndani ya tumbo lake ambapo mimba ya mtoto huyo ilitungwa wakati mwanamke huyo yuko ndani ya ndoa (ameolewa)
Kuzaa - Ni kitendo cha mwanamke kumtoa mtoto ndani ya tumbo lake ambapo mimba ya mtoto huyo ilitungwa wajati mwanamke bado hajaolewa.Neno hili hutumika sana kwa wanyama maana wao huwa hawaoani kama binadamu.
Dedicated to Wanaoolewer na Mimber