Tofauti kati ya kozi hizi

Di Ty

JF-Expert Member
Jul 11, 2014
580
586
What is the difference between bachelor of electrical engineering and bachelor of science in electrical engineering?
 
Duh..kijana!!hapo hamna tofauti bana!ni majina tu,

Tofauti ipo tena kubwa tu..
bachelor of electrical engineering. mara nyingi hii wamewekeza zaidi kwenye practicals yaani 60% ni practicals na 40% ni theory. Na digree za muundo huu zipo DIT, MUST, AIT, St Joseph.

bachelor of science in electrical engineering. Hii kwa kiasi flani wana base sana kwenye analysis na design (sio kwamba mtu wa bachelor of electrical engineering hajua design na analysis) wako sana katika theory yaani 60% theory na 40% practicals. na muundo wa degree hizi zinapatikana UDSM, UDOM,SUA and the alike.

Hizi tofauti inategemeana sana na madhumuni ya chuo husika, na mwisho wa siku wote wanaomaliza katika bachelor zote mbili ni ma engineer na wote wanahitajika katika maendeleo ya Tanzania, Africa na dunia kwa ujumla.
 
asante mkuu kwa ufafanuz
 
Back
Top Bottom