i pad ni aina ya Tablet inayotengenezwa na Kampuni Ya Apple! Tablet Hz znatumia Ios (Interactive Operating System) inayomilikiwa na Apple Pia
Hapa nisawa uliulza tofaut kat ya nokia lumia na simu! Suala ltabak kua nokia lumia ni aina ya simu inayotengenezwa na kampuni Ya nokia!
Tablets zngne Maaruf N kama vle galaxy Tab inayotengenezwa na Samsung Pia amazon Kindle Fire znazotengenezwa na kampuni ya Amazon! Ila hz znatumia Androids operating system Inayomilikiwa Na Google Inc
Skuiz Pia Kuna tablets znazotumia Windows 8 Inayomilikiwa Na Microsoft
kama sjaeleweka Sehemu Yoyote Funguka