ijoz JF-Expert Member Apr 16, 2012 731 710 Apr 20, 2013 #1 Jamani wadau, mwenye kufahamu tofauti ya Company na limited , na ipi ni kubwa kuliko nyingine, faida ya kufungua company/limited over limited/company na taarifa zozote muhimu anijuze. Natanguliza shukrani.
Jamani wadau, mwenye kufahamu tofauti ya Company na limited , na ipi ni kubwa kuliko nyingine, faida ya kufungua company/limited over limited/company na taarifa zozote muhimu anijuze. Natanguliza shukrani.