Tofauti kati ya company na Limited

ijoz

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
731
709
Jamani wadau, mwenye kufahamu tofauti ya Company na limited , na ipi ni kubwa kuliko nyingine, faida ya kufungua company/limited over limited/company na taarifa zozote muhimu anijuze.
Natanguliza shukrani.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom