mwanawao
JF-Expert Member
- Aug 18, 2010
- 3,238
- 5,920
Chadema ni mapumbavu sana
Kidume wa CHADEMA aliyekukata bikra, kakupiga mimba,, kisha akakumwaga bado una hasira naye na hajakutoka kichwani tu. Kweli ulikuwa unampenda..
Chadema ni mapumbavu sana
Ni kama CCM tu wanafanana au waonaje?Chadema ni mapumbavu sana
Kweli tupu kote ni vigeugeu na waongo, rejea kubadili gia angani na kule upande wa pili kujivua magamba nk.Wote ni Sawa , ni wanafiki tu.
Mfano, marumbano ya vyeo kote yapo!
Wizi na ufujaji wa Mali kote ipo (ziwe za chama au nchi kote wanafanya).
Kufumbia macho uovu kote hali hiyo ipo.
Siasa za kutukanana na kuchafuana kote zipo.
Kwa kifupi, ni nyoka na mtoto wa nyoka wote ni nyoka.
Kweli tupu kote ni vigeugeu na waongo, rejea kubadili gia angani na kule upande wa pili kujivua magamba nk.
Hapana mkuu hao CHADEMA nao ni wabaya tu kama CCM unamtangaza mtu hadharani kwa miaka kwa ufisadi kuanzia 2007 ,Mwembe yanga pale hadi 2015 unakuja kumsafisha kwa urahisi tu! wenye akili timamu wanahoji ule ufisadi wake unajibu kama mnaushahidi nendeni mahakamani, hehehe stop kidding.Ccm imetuathiri hivyo tunaamini kila chama ni kama ccm
Ninachojua mim ni kuwa kwenye no habit or character is permanant na propaganda ni sehemu ya siasa na hii inasomewa kabisa.hivyoikiwa kuna mtu kama taasisi alitakiwa kuwajibka na wakasema hivyo sio kosa mtu huyo akajiunga nanyi na mkaanza safar upya.Hapana mkuu hao CHADEMA nao ni wabaya tu kama CCM unamtangaza mtu hadharani kwa miaka kwa ufisadi kuanzia 2007 ,Mwembe yanga pale hadi 2015 unakuja kumsafisha kwa urahisi tu! wenye akili timamu wanahoji ule ufisadi wake unajibu kama mnaushahidi nendeni mahakamani, hehehe stop kidding.
Sasa hapo ni nini hiko?
Ilitakiwa yule waliyemtuhumu wakubali wote kuwa ni kweli alihusika sasa wao walibadilika na kuanza kumtetea tena kuwa kama una ushahidi si uende mahakamani maana yake ni kuwa wanakataa na kupinga walichokuwa wanakisema awali yani ni vigeugeu hamna tena.Ninachojua mim ni kuwa kwenye no habit or character is permanant na propaganda ni sehemu ya siasa na hii inasomewa kabisa.hivyoikiwa kuna mtu kama taasisi alitakiwa kuwajibka na wakasema hivyo sio kosa mtu huyo akajiunga nanyi na mkaanza safar upya.
Ndio maana hata kwenye vitabu vitakatifu imeandikwa tibuni na mtasamehewa
Unajua kirefu cha CHADEMA?,Chadema hayana akili
Ha ha ha haaaaa!Kidume wa CHADEMA aliyekukata bikra, kakupiga mimba,, kisha akakumwaga bado una hasira naye na hajakutoka kichwani tu. Kweli ulikuwa unampenda..
Wengi tu mkuu wazungusha mikono wapo ndiyo maana wanaitwa malofa na wapumbavu hao.Kunawajinga wanaamini et Lowasa au membe au mbowe watawaletea maendeleo!!!!!!!
Wewe usiwe unalinganisha chama tawala na ka chama kaupinzaniHivi kuna tofauti gani kubwa kati ya vyama hivi vya siasa kati ya CCM na CHADEMA?
Hapa tuwapime kwa maneno na matendo yao wanachokiamini na kukisimamia kwa misingi ya itikadi, falsafa na ajenda kubwa wanazozifuata ili kutimiza malengo na kuhakikisha vyama hivyo vinaleta tija kwa jamii na taifa.
CCM wana ajenda ipi kwa sasa, na CHADEMA je?
Katiba za vyama hivi kuna mengi mazuri yameandikwa lakini je wanayasimamia na kuyaishi?
Mie binafsi nimejaribu kufanya uchunguzi wa kina na nikahitimisha kuwa hivi vyama CCM na CHADEMA ipo tofauti moja tu kubwa ni kuwa CCM wana tawala nchi kwa sasa tena utawala wa kidhalimu tu[Siyo kuongoza], na CHADEMA bado hawajafankiwa kupata nafasi ya madaraka makubwa.
Lakini CHADEMA ni kama CCM tu wanafanana wote ni WACHUMIA TUMBO tu.
Sasa raia wafanye nini kama wote ni wachumia tumbo!
Jibu: Mateso hayatoisha kwa watawaliwa hadi watawaliwa wenyewe waamue kuwadhibiti watawala dhalimu->hii haijalishi nani au chama gani kinatawala binadamu akipata mamlaka lazima adhibitiwe usipofanya hivyo utakiona cha mtema kuni.
Nini mtazamo wako na wewe?