Tofauti kati ya bussines information technology ( BIT) na information technology (IT)

remy_official

Member
Apr 13, 2017
27
14
Kuna tofauti gani kati ya bussines information technology( BIT) na information technology (IT)...maana nashindwa kuelewa ...mwenye uelewa apo anieleweshe tafadhari
 
Bit inadil Zain na mambo ya app ya it kwenye biashara kv kwenye mabank,lkn it its universal na paba zaid so km unataka kusoma piga it yenyewe
 
Back
Top Bottom