Tofauti kati ya android na iOS

senzoside

Senior Member
Mar 13, 2012
183
31
Kama swali linavyojieleza nini tofauti kati ya Android na IOS au kama swali cjaliweka vizuri tofauti kati ya simu inayotumia android na ios haya maneno mawili yana maana gani na yanatofautiana kivipi
 
Kama swali linavyojieleza nini tofauti kati ya Android na OS au kama swali cjaliweka vizuri tofauti kati ya simu inayotumia android na os haya maneno mawili yana maana gani na yanatofautiana kivipi

Bila shaka ulimaanisha tofauti kati ya ANDROID vs iOS
Edit hapo kwenye bold ili swali lako lilete mantiki.
 
Kama swali linavyojieleza nini tofauti kati ya Android na OS au kama swali cjaliweka vizuri tofauti kati ya simu inayotumia android na os haya maneno mawili yana maana gani na yanatofautiana kivipi

android ni OS yaani operating system ya simu kama samsung galaxy/techno etc....naamini ulikuwa unataka kusema iOS ambayo ni iPhone OS yaani operating system ya apple inc.

kwahio android ni OS kwa simu za sumsung/techno etc
na iOS ni OS ya iphones....

kuna wataalam zaidi wanaweza kufafanua.
 
Kashaelewa mpaka hapo. ..aktaka zaid s aende viwandan
 
android ni OS yaani operating system ya simu kama samsung galaxy/techno etc....naamini ulikuwa unataka kusema iOS ambayo ni iPhone OS yaani operating system ya apple inc.

kwahio android ni OS kwa simu za sumsung/techno etc
na iOS ni OS ya iphones....

kuna wataalam zaidi wanaweza kufafanua.

Nashukuru mkuu sasa nini maana ya ya andraid msaada wako please
 
Rekebisha hapo twende sana weka Android.

Kisha soma hapa.

Android is the name of the mobile operating system made by American company; Google. It most commonly comes installed on a variety of smartphones and tablets from a host of manufacturers offering users access to Google's own services like Search, YouTube, Maps, Gmail and more.

This means you can easily look for information on the web, watch videos, search for directions and write emails on your phone, just as you would on your computer.
 
Rekebisha hapo twende sana weka Android.

Kisha soma hapa.

Android is the name of the mobile operating system made by American company; Google. It most commonly comes installed on a variety of smartphones and tablets from a host of manufacturers offering users access to Google’s own services like Search, YouTube, Maps, Gmail and more.

This means you can easily look for information on the web, watch videos, search for directions and write emails on your phone, just as you would on your computer.

Samahani tena mkuu nasikia watu wanasema smart phones
Je simu za touch ndo hu diserve kuitwa smart phones au hata za kawaida zenye batani? Asante sana
 
Mkuu as long as unayo access ya net na kakiingereza kama kana panda kidogo tu
basi jaribu kugoogle utapata darasa tosha

usiniambie ku google ndio nini?
 
Sawa nimekupata ngoja nicheki kwasababu nina kakingereza kangu kadogo bila shaka katanisaidia
 
Back
Top Bottom