hela yako lakini utaifwatilia mpaka uchoke unaamua kusamehe tu.Na ulipaji wa mswahili ni longo longo pia, yaani ni maudhi
hela yako lakini utaifwatilia mpaka uchoke unaamua kusamehe tu.
yani ndo hivyo.......mimi uwa nawaambia kwa sasa siko fresh kifedha au nampa amount ndogo najua hata asiporudisha sawa tu.Kwa sasa mimi nimeamua heri kukosana na mtu kwa kutomkopesha kuliko ule ugomvi wa kumdai, potelea mbali kama na mimi shida inikute.
very,very, true!Mzungu: Hi bro, I need $100, wil pay u back on Monday. Mswahil: Kaka vp, shwari? Dah hatuonani mzee, vp mishe, mnatunyima nn, juz nimekuona kwa mbali shavu dodo full kipupwe, sie tupo bwn, shida tu, afu misiba mingi tu,wife nae kajifungua ghafla, sasa kuna cheque naisubiri haijatoka hadi leo, wanasema itatoka next week, hapa nimekwama, naweza pata ka laki ka karbu hapo ntarudisha mwsho wa mwezi...
Kuna mtu alikaa na hela yangu muda mrefu mpaka akasahau kuwa namdai akaja tena na swaga kibao nikamwambia nina balance ya kunifanya nisurvive kwa siku chache akasema nimpe hiyohiyo mi nibaki bila kitu alo nilimpotezea kabisa hata sina mpango naye,inauma alikopa kwa mbwembwe nyingi.hela yako lakini utaifwatilia mpaka uchoke unaamua kusamehe tu.
ndo mana wazee wetu walisema '' KUKOPA HARUSI KULIPA MATANGA'' waliona mbali sana......Kuna mtu alikaa na hela yangu muda mrefu mpaka akasahau kuwa namdai akaja tena na swaga kibao nikamwambia nina balance ya kunifanya nisurvive kwa siku chache akasema nimpe hiyohiyo mi nibaki bila kitu alo nilimpotezea kabisa hata sina mpango naye,inauma alikopa kwa mbwembwe nyingi.
Bora huyo kasema mkewe anajifungua wengine utasikia ooh nanyanyswa na ndugu hawanipi hela chumvi kibao hapana chezea bongo land
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums