Tofaut ya JK na PM ni IPI?

eden kimario

JF-Expert Member
Jun 13, 2015
10,235
16,205
Wana body kuna jamaa alijinasibu sana atapunguza matumizi ya serikali kwa kuhakikisha anatengeneza serikali yenye watu wachache ili kubana matumizi
Jk mawaziri 58 makatibu wakuu 22 jumla 80
Pm mawaziri 34 makatibu wakuu 50 jumla 84

Sasa sijui yalikua maigizo au vipi
Ahadi ya kwanza imemshinda sijui zilizobaki
Mambo vice versa
 
Back
Top Bottom