Tofaut kati ya BA-economics na BS-agro-economcs.

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Habari zenu wakuu,naomba kuulza tofaut ilyopo kati ya hzi degree mbili,BA-economcs inayotolewa UDSM na BS-agroeconomcs inayotelewa na SUA,na ipi ni nzur kwa kusoma kulinganisha na demand ya nchi ye2 ya tanzania!natangulza shukran wakuu.
 
BA Agroeconomics iko makini sana ...nendakapige hiyo mkuu wangu....ni multi purpose na nondo zake pale SUA ni za uhakika haswa...hiyo yenu ya UDSM unasoma huku unakula koni itakusumbua sana baadaye maana iko shallow sana
 
asante mkuu kwa ushaur wako.
 
BA Agroeconomics iko makini sana ...nendakapige hiyo mkuu wangu....ni multi purpose na nondo zake pale SUA ni za uhakika haswa...hiyo yenu ya UDSM unasoma huku unakula koni itakusumbua sana baadaye maana iko shallow sana

Naomba maelezo ya kutosha kwenye rangi hapo!!!
 
"BA Agroeconomics iko makini sana ...nendakapige hiyo mkuu wangu....ni multi purpose na nondo zake pale SUA ni za uhakika haswa...hiyo yenu ya UDSM unasoma huku unakula koni itakusumbua sana baadaye maana iko shallow sana[[/B]/"

Mkubwa unaweza ku justfy majibu yako? Maana ushauri wako uko too general and biased. Toa sababu why SUA iko makini sana na UDSM iko shallow sana, tujue.. Kwa ushauri huu bado hujamsaidia jamaa aliyeomba ushauri.

Na unaweza kunipa tofauti ya hizi fani mbili?
 
Tunakoelekea miaka 25 hadi 50 mbele degree nyingi sana zitaitwa BSc badala ya BA. Ni kutokana na kuingia katika karne ya sayansi na tekinologia mambo ya arts yanabakia kwenye burudani etc. Sina maana ya kumdharau mtu yeyote mwenye BA, not at al, I ma justing sharing my 50 cents. Kama unaweza kupata BSc badala ya BA, go for it buddy. On the face of it inaonesha it is much loaded....
 
kwa hyo tofaut iko kwenye majina 2 bt principle ni zle zle?
 
Kwa mtu makini hawezi kujenga hoja juu ya ipi ni kozi bora zaidi ya nyingine. BA (Economics) na BSc Agro Economics hata ukiongeza BSc Economics zote zimeanzishwa baadaa ya tafiti za muda mrefu ili kukidhi majitaji ya kitaaluma na kiueledi (proffessional needs) kwa lengo kuongeza uwezo wa mwanadamu katika kupambana na kuyamudu mazingira anayoishi. Ni ufinyu wa upeo kudhani kuwa BA Economics ni bora kuliko BSc Agro Economics kwa kuwa malengo ya BA Economics sio ndo yale ya BSc Agro Economics. Kila course ina lengo mahsusi na sio lazima zikafanana mintarafu majina ya course na curriculum yake. Mathalani UDSM inatolewa MBA in Finance Accounting, HRM etc, SUA wanatoa MBA in Agribusiness na Mzumbe wanatoa MBA in Corporate Mgt. Kwa mantiki hiyo inategemea sana mtu anataka kijikita katika proffessional area ipi na ndipo achague nini cha kusoma na sio vinginevyo.

kwa hyo we ungemshaur ndogo wako asome ipi kat ya hzo program mbili za ud na sua?
 
Back
Top Bottom