zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,216
KIKWETE uliye 2filic,
jina lako USANII MTUPU ,Utakalo lifanyike BAGAMOYO tu,
utupe leo mabilioni yetu ya EPA,
uwapeleke MAFISADI wote mahakamani,
uwalipe wastaafu pesa zao,uwasamehe wafungwa kama ulivyomsamehe LOWASA usitutie ktk mikataba FEKI,
kwa kuwa ufisadi ni fani yako na uwongo hata milele,uanguke kwenye safari kama unavyoanguka ovyo jukwaani.
AMINA.