Sala ya Uchaguzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sala ya Uchaguzi

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Chapakazi, Oct 30, 2010.

 1. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #1
  Oct 30, 2010
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  We KIKWETE uliye 2filis, jina lako lisahaulike ,utakalo lifanyike BAGAMOYO tu! Utupe leo mabilion ye2 ya EPA, uwapeleke MAFISADI wote mahakaman, uwalipe wastaafu, walimu na wafanyakazi wa serikali pesa zao, uwasamehe wafungwa kama ulivyowasamehe LOWASA, MRAMBA, KARAMAGI na mafisadi wengine , usi2tie katika mikataba feki, kwa kuwa ufisadi ...ni FANI YAKO NA WIZI NA UWONGO HATA MILELE


  Amina
   
 2. Njaa

  Njaa JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2010
  Joined: Dec 6, 2009
  Messages: 970
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 60
  upuuzi mtupu
   
 3. Kilasara

  Kilasara JF-Expert Member

  #3
  Oct 30, 2010
  Joined: Dec 21, 2008
  Messages: 578
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hutakaa ushibe ukipuuza hiyo sala.
   
 4. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #4
  Oct 30, 2010
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  duh....kweli kazi tunayo katika kujenga taifa!
   
 5. Makene

  Makene JF-Expert Member

  #5
  Nov 2, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,479
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  this is kali
   
 6. DaMie

  DaMie JF-Expert Member

  #6
  Nov 3, 2010
  Joined: Mar 24, 2010
  Messages: 686
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ni kali lakini inafaa
   
 7. Omukuru

  Omukuru JF-Expert Member

  #7
  Nov 5, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 244
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Utasemaje ni upuuzi mtupu wakati tuko kwenye topic ya jokes/utani + uadaku/gossips? Kweli njaa baya.
   
Loading...