Today's menu

Hapo lazima nile Mchemsho Twiga, vingine nakuachieni wenyewe.
 
Hiyo lazima itakua ni Carnivore Nairobi ndio utakutana na Menu kama hizo!
 
Menu imekaa ki polipoli zaidi, ongeza na 'samaki nchanga'
 
Mimi napita tu, sijui kama Maige kaiona hii na anajua ilipo
 
Wale wenzetu wa Mkoa wa Mara wanapenda "kichuri", sasa kwa menu hiyo kichuri cha mamba kinaweza kuwaongezea ujasiri!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…