Today is My Birthday

ngonzi zomukama

Senior Member
Apr 13, 2010
170
5
Leo nisiku yangu ya kuzaliwa namshukuru mungu kwa kuniwezesha hata kufika miaka hii, zaidi kuwa familia nakumuomba aniepushe na magumu yoooote yanayonikabili
Zaidi nawakaribisha wanaJF wooote watakao jaliwa kufika ZHONG HUA GARDEN mpate japo cake na kunitakia baraka mie bday girl,
 
On your birthday I wish you much pleasure and joy;
I hope all of your wishes come true.
May each hour and minute be filled with delight,
And your birthday be perfect for you!******i will be there Ngozi zomukama
 
huh mwaya hivi tumezaliwa siku moja! .......

mungu akujaalie maisha marefu yenye mapenzi moto moto daima
 
aaah Fl tushakuwa wazee .........sasa bday si kitu muhimu tena, kama si kukumbushwa hapa ingepita sina hata habari
 
Happy Birthday Ngonzi Zomukama! Mungu akupe maisha marefu na yenye mafanikio!
 
happy b'day dear

@Gaijini best na wewe happy b'day shstito
 
Leo nisiku yangu ya kuzaliwa namshukuru mungu kwa kuniwezesha hata kufika miaka hii, zaidi kuwa familia nakumuomba aniepushe na magumu yoooote yanayonikabili
Zaidi nawakaribisha wanaJF wooote watakao jaliwa kufika ZHONG HUA GARDEN mpate japo cake na kunitakia baraka mie bday girl,
HAPPY BIRTHDAY NGONZI.................UNATUTEGA? Mbona husemi ni wakati gani? halafu umefanya kosa kutukaribisha kwa vile mie nitatia timu tu. Sihitaji kadi. UBARIKIWE............wakumbuke sana wazazi wako siku kama ya leo.
 
Happy Bday sweetie

huwa napata shida sana kufungua thread ambayo huyu mdada amechangia, kwasababu ya hicho ki avatar chake, wengi wanaweza kufikiri naangalia pono. hivi wewe mfunyukuzi, hauwezi kabisa kubadilisha icho kiavata? just kuheshimu na hisia za watu wengine? au
 
hongera mwana, nakutakia birthday nyingine kama mia hivi. Natamani keki lakini ndio niko mbali kweli. Asante kwa ukaribisho
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom