Hahahahah mbona waniumbua tena,najua nimetenda kosa nimeshatubu! Sisemi wanafake ila naona kama maigizo flan niombee nipate kuamini.
hivi hao SCOAN.......hawana branch Bongo.?....watu tunahitaji ukombozi wallah........
Siku za mwisho manabii wauongo watakuwa wengi sana tujighadhari kikubwa ninachoamini nikuwa imara kwenye imani yako kanisa sikitu, mhubiri si kitu bali moyo wako na jinsi gani unamsogelea Mungu wako wa imani itokayo rohoni nina uhakika tutaponyeka na tutatenda miujiza na wala si wanigeria
Napata tabu na kitu hii. Njia ya kwa Mungu si nyepesi hivyo
Mimi nilikuwepo Nigeria tarehe 26 October 2012 hadi 29 October 2012 na nilifanikiwa kuhudhuria Ibada mbili pale SCOAN i.e Saturday 27/10 na Sunday 27/10.Nimeshuhudia kwa macho yangu mwenyewe nguvu ya Mungu inavyotenda kazi.Yanayoonekana katika Emmauel Tv ni kweli kabisa.Jumapili njema
Mimi nilikuwepo Nigeria tarehe 26 October 2012 hadi 29 October 2012 na nilifanikiwa kuhudhuria Ibada mbili pale SCOAN i.e Saturday 27/10 na Sunday 27/10.Nimeshuhudia kwa macho yangu mwenyewe nguvu ya Mungu inavyotenda kazi.Yanayoonekana katika Emmauel Tv ni kweli kabisa.Jumapili njema
Preta habari za siku. Ni humuhumu JF, ulikuwa wapi mbona sikuwa nikiona post zako?.....karibu nyumbani. Thando (Bhoke) yupo nyumbani pia...Nimemkaribisha na Mwita Maranya tuonane kabla sijaondoka Dar.
asante. Itabidi nifanye utaratibu wa kuipata maana najiskia vibaya sana kuikosa.
Pastor & Mrs Ikechukwu Lukeman
Pastor anatoka kwenye idol worshipers' home, yeye akaokoka akaoa.
Mke alikuwa mkorofi sana, hafanyi chochote hata kupika; kifupi alikuwa kama baba wa nyumba.
Unyumba akanyimwa kwa miaka zaidi ya mitatu. Ikafikia muda wakatengana.
Wakaenda SCOAN last week, ndipo lipepo lililokuwa ndani ya mke likajitaja (spiritual husband) na kusema jinsi gani lilivyokuwa linajaribu kuharibu ndoa yao. Wamerudi leo, kushukuru Mungu.
Familia no 2, wao walikuwa wanaishi mbali mbali, wakawa wanawasiliama kwa skype muda wote. Mke baada ya kuchat na mumewe, akawa anajitosheleza kwa kumasterbate huku akiangalia porno. Ikamuaffect kiasi kwamba hata affection kwa mumewe, mumewe naye akaanza kumuona mkewe kama mtu wa kawaida tu. Hadi kufikia hatua ya kutaka kutalikiana.
Wamepata derivelance nao wako okay.
Kwanini nimeleta humu, situation hizo ni very common ktk maisha yetu; lkn wengi hatujui the root cause. Tusiache kumuomba Mungu.
Jumapili njema!
Kupitia Emmanuel tv nimefunguliwa mambo mengi sana walau naona mwanga kwenye maisha lakini star times wameiondoa.
ukweli ni kwamba mimi nilikuwa nigeria na sijapata kusikia sana habari za tb joshua,nadhani the power of media ie emmanuel tv imekuwa nguvu yake pekee,hata pale nigeria nzima kuna kanisa lake moja tu,binafsi naamini watu wengi wana shida,ila kwa nigeria kuna makanisa mengi makubwa zaidi ya tb joshua,