Kwenye mwanga mkali haitaweza kufanya kazi kwa ufanisi, hata kama ni chumba chenye mwenge mkubwa lazima uitafutie sehemu, kwani lengo ni kukusaidia wewe kutambua pesa fake, unaweza iweka chini ya kabati la pesa, au sehemu yoyote ambayo muda wote itakuwa na giza giza, kwani mwanga wake unakuwa wa dhambarau.
Naomba kusaidiwa wapi ninaweza kupata zile tochi zenye mwanga maalumu, zinazosaidia kutambua alama mbalimbali za noti, ili kubaini noti halali na noti feki?.