Tochi/Speed Limit,Barabara Kuu ni Shiiida

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,557
Ningeomba Serikali kupitia wadau Toka Usalama barabarani,Sumatra na Tanroads,kuliangalia upya suala LA tochi na Maeneo mengi kuwekwa speed limit ya 50/kmph,kwa kweli Kwa Safari ndefu ya takriban Km 1200 kwenda mikoa ya mwanza,tunduma kigoma hats Dodoma,Iringa no kumzuia Dereva aende kwa speed ya 50/kmph ukweli ni kipimo cha chini mno ukilinganisha na masafa ya gari inayosafiri!ni kipimo ambacho hata Barbara za Nyerere,Mandera,Kilwa nk bado hatuendi speed hiyo na ndio mjini,sasa inapokuwepo 'kamera'porini ambapo sehemu ingine hakuna hata nyumba unaamriwa utembee kwa speed 50,inaleta shida na upotevu mkubwa wa muda ktk njia kuu hizi,Mfano Jana nimetoka Moro kuja Dar kwa Gari ndogo imenichukua karibu masaa 6! Nimepigwa faini x2,na kuna hadi kamera za nyuma hapo Mdaula kweli safari ilikua ngumu mno!hata ukizidi speed 5 au 10 kwa kiwango kilichowekwa ni faini,Ushauri kwa Serikali iondoe tochi kwa gari ndogo na Speed limit iwekwe katika maeneo ya makazi yaani vijiji/Mashuleni/vivuko vya wanyama,udhibiti uendelee kwa magari makubwa na mabasi yaani kwa 80/kmph,Hill litasaidia kuokoa muda mwingi unaopotea njiani tena 'Highway'watu wanaokuja connect flight wanachelewa reporting time ya usafiri wa ndege Dar,Safari za ugonjwa nk,Serikali imepunguza sana Matuta njia kuu hizi sasa ikibidi iziondoe kabisa tochi hili litasaidia watu kufanya mambo kwa haraka katika harakati za ujenzi wa taifa.

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Kwan toka waanzishe hiyo Torch takwim za ajali njia za kwenda mikoani zikoje???
 
Tochi kwa ukweli ni jipu,huwezi kuona kero ya Tochi kama unasafiri mijini ila kama usemavyo kwa safari ndefu za mikoani hizi Tochi ni karaha sana.Mimi nilizidisha speed mbil yaani 52kph,walinikomalia ajabu mpaka nikalipa faini,kilichotokea ni kuwa palikua na speed ya 50kph kabla ya kukutana na end board inayo cancel ile ya 50kph,then nikakutana na nyingine imeanza na kilichoonekana ile end board imetolewa,jamaa wakanikomalia balaa kuwa hiyo ipo kwenye sheria zao ,yaani 50kph inafuatiwa na nyingine ya kutia msisitizo,kwa kuwa nilikuwa na haraka sikuwa na jinsi nikatoa faini yao.
 
Ukitaka kuwahi nenda siku moja kabla, mwendo wa haraka unaua zaidi! hivyo hivyo mwanzo mwisho, ukiwa kwenye basi la mkoa unaweza kunywa hata kahawa maana full utulivu
 
Ni kichekesho kuona hata kwenye sehemu unayotakiwa kuendesha say 50 km/hr kwamba ukizidisha 52km/hr wanakulima faini, kwa wenzetu walioendelea speed limit iliyowekwa unaweza kuzidisha plus 10 km/hr kwa muda mfupi kwasababu wanaamini wakati mwingine dereva anaweza kujisahau kabla ya kushtuka na kurudi kwenye mwendo unaotakiwa ...ukienda Germany ndio kabisaaa wao wanakamua tu speed limit uoga wako. Tatizo sio speed isipokuwa hatuna barabara,uzembe na kutotii sheria.
 
Naomba kujua hizo tochi zao Police ni aina gani? Pia manufacturer ni nani? Na ni model ipi na ya Mwaka gani?
 
Ningeomba Serikali kupitia wadau Toka Usalama barabarani,Sumatra na Tanroads,kuliangalia upya suala LA tochi na Maeneo mengi kuwekwa speed limit ya 50/kmph,kwa kweli Kwa Safari ndefu ya takriban Km 1200 kwenda mikoa ya mwanza,tunduma kigoma hats Dodoma,Iringa no kumzuia Dereva aende kwa speed ya 50/kmph ukweli ni kipimo cha chini mno ukilinganisha na masafa ya gari inayosafiri!ni kipimo ambacho hata Barbara za Nyerere,Mandera,Kilwa nk bado hatuendi speed hiyo na ndio mjini,sasa inapokuwepo 'kamera'porini ambapo sehemu ingine hakuna hata nyumba unaamriwa utembee kwa speed 50,inaleta shida na upotevu mkubwa wa muda ktk njia kuu hizi,Mfano Jana nimetoka Moro kuja Dar kwa Gari ndogo imenichukua karibu masaa 6! Nimepigwa faini x2,na kuna hadi kamera za nyuma hapo Mdaula kweli safari ilikua ngumu mno!hata ukizidi speed 5 au 10 kwa kiwango kilichowekwa ni faini,Ushauri kwa Serikali iondoe tochi kwa gari ndogo na Speed limit iwekwe katika maeneo ya makazi yaani vijiji/Mashuleni/vivuko vya wanyama,udhibiti uendelee kwa magari makubwa na mabasi yaani kwa 80/kmph,Hill litasaidia kuokoa muda mwingi unaopotea njiani tena 'Highway'watu wanaokuja connect flight wanachelewa reporting time ya usafiri wa ndege Dar,Safari za ugonjwa nk,Serikali imepunguza sana Matuta njia kuu hizi sasa ikibidi iziondoe kabisa tochi hili litasaidia watu kufanya mambo kwa haraka katika harakati za ujenzi wa taifa.

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app

Tanzania hakuna Highway!

​
Hapana kuzidi spidi 5km/saa haupigwi faini, kama unatakiwa kuendesha 50 km/saa halafu ukaendesha mpaka 55 km/saa hiyo iko kwenye margin of error hivyo inaruhusiwa ila zaidi ya hapo ni lazima ulipe, isitoshe barabara zote za TZ mwisho 80km/saa!
 
Cha ajabu usiku hakuna tochi yaani bus kama.zitokazo Mwanza likiingia giza tu ni mwendo kasi kwenda mbele sasa sijui usiku tochi si muhimu
 
Tanzania hakuna Highway!

​
Hapana kuzidi spidi 5km/saa haupigwi faini, kama unatakiwa kuendesha 50 km/saa halafu ukaendesha mpaka 55 km/saa hiyo iko kwenye margin of error hivyo inaruhusiwa ila zaidi ya hapo ni lazima ulipe, isitoshe barabara zote za TZ mwisho 80km/saa!
Kwa askari wetu walivyo wagumu kuelewa hawawez kukuacha. Kwa Engineering, kuna allowable margin error ya +(-)5 hadi 10. Lakini hawa wa kwetu sijui ni kwa kujua au kutokujua wanakomaa bila sababu za msingi.
Tuchukue kwa gari ndogo ukiwa hata 70km/h,unaweza kusimama hata baada ya mita 5. Kwa kawaida gari ikiwa ni nzuri hata kwa speed 100,unaweza kusimama baada ya mita 20!

Kuna hoja imeibuka kuondoa matuta barabara kuu, hii naiunga mkono lakini lazima vivuko viwekwe kwa watembea kwa miguu, na hilo likifanyika basi ile 50kph iongezwe kufika angalau 70kph.
 
Kwa askari wetu walivyo wagumu kuelewa hawawez kukuacha. Kwa Engineering, kuna allowable margin error ya +(-)5 hadi 10. Lakini hawa wa kwetu sijui ni kwa kujua au kutokujua wanakomaa bila sababu za msingi.
Tuchukue kwa gari ndogo ukiwa hata 70km/h,unaweza kusimama hata baada ya mita 5. Kwa kawaida gari ikiwa na nzuri hata kwa speed 100,unaweza kusimama baada ya mita 20!

Hata askari wa hapa nyumbani kama uko 55km/saa hawezi kukulipisha faini, ila zaidi ya hapo hauna la kujitetea!
 
Mkuu, kuna siku nilikomaliwa na jamaa yangu baada ya kutoka Morogoro kama unaenda Mikumi, pale baada ya njia panda ya Mzumbe walikomaa kwa kusoma 54kph. Acha kabisa hawa ndugu na mashine zao za EFD, hawana msamaha, hawana error angalau 10kph,wao ni fine tu.
 
Hivi kwanini wanaweka vibao vya 50kph? Hifadhi ya barabara inatakiwa kuheshimiwa. Watu wasijenge kwenye hifadhi ya barabara.
 
Back
Top Bottom