Tochi/Speed Limit,Barabara Kuu ni Shiiida

Tochi/Speed Limit,Barabara Kuu ni Shiiida

Lakini kwa gari ndogo ingewekwa speed limit kubwa kidogo, say 70km/h, maana gari ndogo inaweza kusimama bila shida hata katika speed ya 80, 50 ni ndogo sana kwa gari ndogo.

Acha 50 ibaki kwa maroli na mabasi
 
Point nchi za wenzety marufuku kujenga road...

Kwanini wasifuate sheria ya kujenga nje ya hifadhi ya bishara?

Halafu waweke vivuko vya watu kupita kwa miguu ambapo watu wanatakiwa kuvitumia.
 
Kiukweli tochi zinakera sana,ni bora kusafiri usiku km inawezekana
 
Mabwana mipango miji wakiruhusu watu wajenge road ndo haya highway inakua na vibao vya 50 kila pahala na matuta nchi jirani kama zambia ukitoka tunduma-lusaka KM 1000 hakuna tuta hakuna makaz ya watu walio karibu hata na mita 30 toka kati kat ya road na vibao ni 80-100 na gar za mizigo sio basi anaamasha huo umbal baada ya masaa 14 anafika sie hapa siasa tupu.
 
Kwanini wasifuate sheria ya kujenga nje ya hifadhi ya bishara?

Halafu waweke vivuko vya watu kupita kwa miguu ambapo watu wanatakiwa kuvitumia.

Mabwana mipango miji wakiruhusu watu wajenge road ndo haya highway inakua na vibao vya 50 kila pahala na matuta nchi jirani kama zambia ukitoka tunduma-lusaka KM 1000 hakuna tuta ,HAKUNA TOCHI ,hakuna makaz ya watu walio karibu hata na mita 30 toka kati kat ya road na vibao ni 80-100 na gar za mizigo sio basi anaamasha huo umbal baada ya masaa 14 anafika sie hapa siasa tupu.
 
Ni kero mno tochi/speed limit gari yenyewe umeagiza TRA washalamba x3 ya bei ya japani afu hulifaidi hata.Sasa ukute misafara yao speed hatari.Masikini tz ananyanyasika Mno.
 
Ukitaka kuwahi nenda siku moja kabla, mwendo wa haraka unaua zaidi! hivyo hivyo mwanzo mwisho, ukiwa kwenye basi la mkoa unaweza kunywa hata kahawa maana full utulivu
Wewe Ungekua MTU wa magari na safari ungeelewa vizuri hili,safari za mkoa ni ndefu kilometa nyingi unajitahidi kuondoka mapema unakuja kuminywa utembee kwa 50km/h na hii ni max itakubidi usizidi hiyo means utatembea kwa 40km/h ama 45km/h,huu in mwendo Mdogo sana kwa safari!

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna namna tumechoka kusikia vifo vya ajali kisa mwendokasi mpigwe faini tu.
 
Cha ajabu wanajificha vichakani, ukifika mbele unasimamishwa na kuambiwa umezidisha speed, ukiuliza wakuonyeshe, unaambiwa lipa kama hutaki endelea kukaa hapa. Sasa huko ni kukomoa, kosa hujathibitishiwa ila lipa tu. Kingine hakuna onyo wala elimu ni lazima adhabu tu. Inakera sana. Hata uwaeleze nawahi kuzika hiyo ni ngonjera tu lazima ulipe.
 
sasa hivi umekuwa mchezo wa kuviziana kati ya trafik na madereva kitu ambacho si kizuri ila nashukuru wameamua kutuondolea matuta, waondoe na zile rasta maana kuna rasta zipo pande za kibamba ukizipanda ghafla mpaka radio inazima si mchezo.......kuendesha kwa kujihami ndio kunatakiwa halafu kwa speed ndogo hii ya 50 hukawii dereva ukasinzia kama ni safari ndefu......hatupendelei wala kufurahia ajali ila speed ya 50 ni kero unatoka dar to moro sehemu ambayo unaweza ukaiona speed 80 ni kuanzia Ubena ila ukimaliza hilo pori baasi hakuna tena ni kero
 
Mabwana mipango miji wakiruhusu watu wajenge road ndo haya highway inakua na vibao vya 50 kila pahala na matuta nchi jirani kama zambia ukitoka tunduma-lusaka KM 1000 hakuna tuta ,HAKUNA TOCHI ,hakuna makaz ya watu walio karibu hata na mita 30 toka kati kat ya road na vibao ni 80-100 na gar za mizigo sio basi anaamasha huo umbal baada ya masaa 14 anafika sie hapa siasa tupu.

Wanaudhi sana.
 
sasa hivi umekuwa mchezo wa kuviziana kati ya trafik na madereva kitu ambacho si kizuri ila nashukuru wameamua kutuondolea matuta, waondoe na zile rasta maana kuna rasta zipo pande za kibamba ukizipanda ghafla mpaka radio inazima si mchezo.......kuendesha kwa kujihami ndio kunatakiwa halafu kwa speed ndogo hii ya 50 hukawii dereva ukasinzia kama ni safari ndefu......hatupendelei wala kufurahia ajali ila speed ya 50 ni kero unatoka dar to moro sehemu ambayo unaweza ukaiona speed 80 ni kuanzia Ubena ila ukimaliza hilo pori baasi hakuna tena ni kero
Kama unapandisha pale kibamba mlimani pita kwenye ile lane ya kushoto zile rasta zake zimeshasagwa na ma semi
 
Nilitoka dar to arusha.dar tuliondoka was moja na nusu asubuhi.arusha tuliingia saa 3 usiku.mwendo taratibu.sipendi mabasi yanayoenda kasi ila kwa ule mwendo ilikuwa komesha taratibu.
 
Kama unapandisha pale kibamba mlimani pita kwenye ile lane ya kushoto zile rasta zake zimeshasagwa na ma semi
hah hah we noma tatizo upande wa kushoto unakuta malori yanasinzia au kuna mojawapo limezima basi tabu tupu.....kesho nitaziangalia kama wameziondoa au utekelezaji wa hilo tamko bado
 
Nachukua nafasi hii kuwapongeza sana RTO wote na vijana wenu mnafanyakazi kubwa sana sana Mungu Mkuu awabariki sana naombeni ongezeni adhabu
 
Back
Top Bottom