Kama hakuna report ya survey, inamaana aliyependekeza kina cha kuchimba anaweza kuwa mteja mwenyewe kulingana na taarifa za majrani wenzake waliochimba au mchimbaji contractor kulingana na uzoefu, so ikiwa kina alichopendekeza mteja kikafikiwa na maji hakuna then inabidi kurudi mezani kujadili gharama za kuzidi kwenda chini mpaka kukuta maji ikiwa mtaafikiana then mashine itapigwa zaidi na zaidi,
Ikiwa kina alipendekeza contractor na maji hayajaowepo inakuwa balaa maana unaweza kulazimu kuchimba zaidi kwa gharama zako ili mteja apate maji uliyomuhaidi, ila kuna kukaachini na mteja ukamwelewesha pia.
300 M ndio conclusions ya dry hole.