Tobaaaa!! Ipe Neno hii

Ukiangalia kwa vizuri huyu aliebebwa

1. kalegea sana

2. kansinzia machoni

3. Kafunga mikono kwa kulazimisha hana furaha

Maana yake huyo ni mgonjwa inawezekana anapelekwa au anarudishwa hospitali

Kidogo hii inaniingia akilini nje ya hapo dungadunga tu huyu..,
 
Huyo kwa sura haonekani shoga ila ni mgonjwa tu...machoko yanaonekana tu.
 
Mtoto sio riziki huyu
Mambo ya kimombasa yanamuhusu
 
kwa hii picha kama siyo mgonjwa wa akili basi mgonjwa kiafya malaria en so on
 
Haahahahahahaha dahhhhh acha mgonjwa afe ila hyo style hapandi mtu kwenye pikipiki yangu
 
inawezekana aisee
Ukiangalia kwa vizuri huyu aliebebwa

1. kalegea sana

2. kansinzia machoni

3. Kafunga mikono kwa kulazimisha hana furaha

Maana yake huyo ni mgonjwa inawezekana anapelekwa au anarudishwa hospitali
 
Ukiangalia kwa vizuri huyu aliebebwa

1. kalegea sana

2. kansinzia machoni

3. Kafunga mikono kwa kulazimisha hana furaha

Maana yake huyo ni mgonjwa inawezekana anapelekwa au anarudishwa hospitali
Mmmh1 labda maana jamaa kalegea sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…