Toba!! Haya maji mengine bwana...!!!

kamati ya harusi: Mzabuni tunahitaji kwenye "shughuli' u save maji yenye kiwango?
Mzabuni: Ndio sitawaangusha, najua mna wageni wengi waalikiwa na hamtaki kamati yenu ionekane ovyo
kamati ya harusi: haswaaa, ndio maana tulikupitisha utuhudumie. Hakikisha ukumbini yanaonekana maji aina ya MAVI tu
 
Hapo ndo utaona namna ubunifu wa MAJINA YA BIASHARA na KAMPUNI ulivyo mgumu ?
 
Eti Naomba Mavi ya Buku!!!!
Sinunui hata siku moja
 
Hii itakuwa sio Bongo, labda ni Bukavu huko.

Hakuna mwenye akili timamu atawekeza hela yake aje na product ya jina hilo.
 

Hii juice mi nikikaribishwa pia sinywi[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…