Toa ushuhuda kwa ulichowahi kukifanya

Tutor B

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
9,025
6,582
Ndugu zangu wajasiriamali, habari za majukumu.

Humu ndani kumekuwa na tabia ya kuambizana mambo mengi ya kufanya pasipo kupeana ushuhuda wa kweli kuhusu mambo hayo. Tunapeana mawazo ya biashara mengi lakini hatujulishani changamoto zake. Naamini wapo walofanya hiyo biashara wakafanikiwa na wengine wakapata hasara, kwa thread hii naomba wenye kuweza kutoa shuhuda zao wajimwage ili tupeane maarifa ya namna ya kuzikepa changamoto.

Karibuni sana
 
Ninafuga Kuku wa MAYAI changamoto ni nyingi..bei za pembejeo na madawa ni aghali..
 
naendesha biashara ya mikopo changamoto ni kuzurumiwa na huku vyombo vya serikali vikiwa havina ushirikiano
 
Back
Top Bottom