Lakini mkuu......niliyejibiwa ni mimi.......na kanijibu hivyo kwa sababu anafahamu kuwa naishi kwa Mbauda......sasa sijui na wewe unataka kufanya nae biashara........?
Na hizo pound unazitoa wapi?Lakini mkuu......niliyejibiwa ni mimi.......na kanijibu hivyo kwa sababu anafahamu kuwa naishi kwa Mbauda......sasa sijui na wewe unataka kufanya nae biashara........?
Hakuna biashara hapa Kingsimba amepita tu mtaa huu kama vile wamachinga wanavyopita mitaani na visoksi kadhaa mkononi.
Thank you, Preta....Sasa tayarisha hizo Pound nije tufanye biashara. Nikukute hapo kwa babu Ngarenaro!.Lakini mkuu......niliyejibiwa ni mimi.......na kanijibu hivyo kwa sababu anafahamu kuwa naishi kwa Mbauda......sasa sijui na wewe unataka kufanya nae biashara........?
Nahitaji order ya sim original unayohitaji.
Nokia
samsung
blackberry
htc
iphone
hauwei
sony expiria
sonyericson expiria
sms zinaruhusiwa pia kwa order
asanteni sana kwa ushirikiano wenu.
Nataka Nokia 3310
Hata mm hii sijaipenda..wewe sio mfanya biashara kama majibu yako ndo hovyo namna hii hutufai tutapoteza muda tu bure ww kwa Mbauda wote wanapajua ni Kigoma??????