Toa nijambe

nzalendo

Platinum Member
Joined
May 26, 2009
Posts
13,093
Reaction score
15,208
Wapishi walikuwa wanaandaa chakula katika usafi wa hali ya juu.
walikuwa na masihara ya maneno na kuongea chochote.

Jamaa alikuwa kabanwa na ushuzi,
Mpishi mwenzake alikuwa amepanga maandazi katika njia ya kuelekea choo.
Kwa nje alikuwa anapita mke wa mpishi ambaye alikuwa anakuja maeneo ya jikoni.
Ghafla akasikia sauti (ya mumewe) ...toa nijambe...mwenzake ...akajibu jambia humohumo........
Ghafla mke wa jamaa kwa nje akaangua kilio kilichowashtua humo ndani......:confused3:
 



OyOOooo! JaMaa kaJamBabIa mAaNdazi kuMbe AkaaRisha hapoHapo Akatoa mtori Wa ma.vI.
 
Madhara ya kuchanganya dawa mseto ya malaria na viroba haya.Maliza dozi kwanza viroba vipo tuu haviishi leo wala kesho,haya kunywa maji mengi au maziwa na urudi kupumzika.
 
Mungu inabidi awapende sana vichaa kwa sababu anawatengeneza wengi mno
 
Mmh!!, na rekebisha kitivii chungu, ili niangalie afcon, lkn cjui kinatatizo gani, ikiwezekana nialikeni wakuu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…