Nilifikiri hivyo hivyo pia aisee. Nimeshangaa kuona watu wana tiririka na namba 4dah kweli nimeamini ME hatutofautiani sana kujua kilicho kizuri ndo maana mtaani KE ni wengi ila wanaonekana wachache! kabla sijaangalia comments za wengine nilidhani No 4 itakuwa mimi pekee ndo nimemuona kuwa anavutia kumbe tupo tele
hahaha watu mna utaniHuyo namba 14 ukimchemsha hupati hata ukoko wa mchuzi.mifupa tupu
Ila kazuri jamani