Toa marks kwa Mwalimu huyu...

Toa marks kwa Mwalimu huyu...

Blog

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2013
Posts
320
Reaction score
129
ImageUploadedByJamiiForums1425590833.087090.jpg
Kumbe w/funzi wanakuwa failed kwa mambo mengi tu, wana bahati w/funzi wa kizazi cha Dot.com wanamaliza wadogo enzi zetu angetongozwa na kupewa MIMBA kabisa.
cc😡mshana jr
 
Aiseeee,hapo ningechagua dawati la mbele nijionee burudani...
 
Ngoja kwanza hii picha kapiga mwanafunzi au nani au ndio mambo ya selfie?
 
si yupo ofisini naye kapiga kimini safi kabisa:A S embarassed::A S embarassed:
 
Back
Top Bottom