Toa maoni yako: Mabadiliko sheria ya ndoa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Toa maoni yako: Mabadiliko sheria ya ndoa!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by stop-engine, Dec 23, 2011.

 1. stop-engine

  stop-engine Member

  #1
  Dec 23, 2011
  Joined: Dec 23, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  heshima yenu wana mmu!...

  kwanzaa kabisa natoa pole za dhati kwa watanzania wote waliokutwa na maafa ya mafuriko hapo jijini dar....!poleni sana na kimsingi watanzania wengi tupo pamoja katika sala na namna yoyote ile ya kusaidiana.

  kwa mfano tukiamua kwamba maisha lazima yaendelee....nilikuwa nina hoja hapa,ningependa sisi wana MMU tuanzishe uzi hapa tutoe inputs zetu katika kuirekebisha au kuiweka sawa hii sheria ya ndoa.ninaamini jamii inahitaji sana mabadiliko kwenye hii sheria.naanza mimi hapa:

  1-mimi naona kwamba sheria ya ndoa kwenye swala la 'divorce' pangefanyiwa marekebisho kidogo....!kwamba divorce isiwepo kabisa maanake inadisturb sana equilibriums za uchumi wa familia.mi nadhani watu wakichokana saana..anayedhani amechoka kuliko mwenzie achape lapa kimya kimya pasi na kudai shares zake.kwasababu mwisho wa siku wanaoumia ni watoto mnaowaacha.  nawakaribisha wengine kwa maoni zaidi
   
 2. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #2
  Dec 23, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Mhhh kweli mahakama ya kadhi inatakiwa, kwa sheria yako utawanyima waislam uhuru bana!
   
 3. stop-engine

  stop-engine Member

  #3
  Dec 23, 2011
  Joined: Dec 23, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu itawanyimaje uhuru...?!
   
 4. m

  mkulasabo Member

  #4
  Dec 23, 2011
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mutoa maada mapendekezo yako hayajakaa vizuri na hakuna ambaye atakuwa tayari kuyakubali maana wewe umedai apoteze kila kitu sasa watu watakuwa wanafanya makusudi ilimtu aondoke yeye abaki na mali kwa ujumla mm sikubaliani na hiyo sheria
   
 5. stop-engine

  stop-engine Member

  #5
  Dec 23, 2011
  Joined: Dec 23, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  lakini mkuu mkulasabo hayo yalikuwa ni mawazo yangu...!nilidhani ungependekeza marekebisho mengine unayoona yanafaa
   
Loading...