Toa maoni yako juu ya picha hii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Toa maoni yako juu ya picha hii

Discussion in 'Jamii Photos' started by PingPong, May 17, 2010.

 1. PingPong

  PingPong JF-Expert Member

  #1
  May 17, 2010
  Joined: Dec 21, 2008
  Messages: 933
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45
  Hii inakuaje....
   

  Attached Files:

 2. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #2
  May 17, 2010
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Kinacko kosekana hapa ni picha ya choo unachokitumie wewe.Sijui kama kina tofauti kubwa sana!
   
 3. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #3
  May 17, 2010
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Afadhali choo hiki kuliko vile vya majengo ya clubs za Simba na Yanga! Yaani kile cha simba walionyesha juzi wakati mwenyekiti wao mpya akilikagua jengo nilipata kuugua tumbo na kushindwa kula!!! Sikuweza kuamini kuwa ni choo au shimo la taka!!! Kweli ustaarabu Tanzania ni mgumu sana!!!
   
 4. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #4
  May 17, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,944
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  Matokeo ya mitihani ya darasa la saba yataendelea kuwa mabaya siku hata siku. Pia vyoo hivyo vitakuwa vichafu sana kiasi kwamba hawaingii ndani! Haya ndio matunda ya term ya kwanza ya JK!
   
 5. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #5
  May 17, 2010
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,668
  Likes Received: 21,901
  Trophy Points: 280
  Ndivyo CCM ilipoifikisha nchi. Maana kama choo cha shule kiko hivyo madarasa jee?
   
 6. K

  Katabazi JF-Expert Member

  #6
  May 17, 2010
  Joined: Feb 18, 2007
  Messages: 355
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kila binadamu ana maoni-PingPong hayo hayakutoshi?
   
 7. PingPong

  PingPong JF-Expert Member

  #7
  May 17, 2010
  Joined: Dec 21, 2008
  Messages: 933
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45
  Upo sahihi mkuu, sasa ni nani anatakiwa kubeba lawama kwa kutokana na hali hiyo? serikali au wazazi?
   
 8. Mwana wa Mungu

  Mwana wa Mungu JF-Expert Member

  #8
  May 17, 2010
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 1,007
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  hela ya shangingi moja yaweza kujanga vyoo bora hata ishirini katika shule hizo. watz tuamke kwa hili...
   
Loading...