Ni wazo zuriWadau wa tech naombeni kufahamishwa kama kuna library yaku filter bad words inayo support swahili language.
kama hakuna nahisi ni muda wa dev wakitanzania kufanya hivo coz kiswahili ndo lugha yetu mama...nitafurahi nikiiona iyo kitu Github...and ready to contribute ku list words kwenye iyo dictationary ,
i suggest nodeJs itumike ku develop it.
....Hope it will add ur credits.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hii ofcoz itasaidia kufilter tu maneno. Lakini nlivyomuelewa jamaa anataka iwe na uwezo wa kutambua yapi ni matusi, etc.. The best way mm nnayoiona ni kutumia neural networks (A.I) coz hata kwa kutumia php tunaweza kutengeneza neural networks zitakazotambua kama neno ni tusi au.inawezekana, dictionary unaweka upande wa server(php), client side unatumia node au ajax, kufilter, ku censor na ku mask ayo maneno
Itz a good idea. Ila sasa mtu mmoja hawezi fanya hii kitu. Inabidi kuwe na team. Hii ni kama project ya kujitolea na ukiangalia real programmers wengi wanakazi ambazo zinawakeep busy sana. Ila pia hii project kama itafanyika itakua ni chance ya wale wanaojiita wamesoma IT na programming vyuoni kuprove walichosoma. Coz hawa ma IT wanaograduate huwa sioni mchango wao ktk secta ya IT hapa bongo. Wengi utakuta wanalilia kuajiliwa, lkn kama tukiteam up kufanya hii project basi hata CV yako itaongezeka Uzitohope ni simple project...wale wanaoleta mafundisho ya tutorials humu wafanye kitu......za lugha ya engl, italia and other zipo nyingi so is our turn....hata JAMIIFORUM wataitumia ikionekana useful
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa there a lot of other projects(VERY SIMPLE TO SAY)Naunga mkono hoja lakini (mimi binafsi) sioni maana au ulazima wake, there are a lot and very beneficial twaweza fanya kuliko hili
Sent using Jamii Forums mobile app
Lets make a team mkuu.Wadau wa tech naombeni kufahamishwa kama kuna library yaku filter bad words inayo support swahili language.
kama hakuna nahisi ni muda wa dev wakitanzania kufanya hivo coz kiswahili ndo lugha yetu mama...nitafurahi nikiiona iyo kitu Github...and ready to contribute ku list words kwenye iyo dictationary ,
i suggest nodeJs itumike ku develop it.
....Hope it will add ur credits.
Sent using Jamii Forums mobile app
Okay mkuu. Nmekupata..mkuu nikupongeze kwa kuona hii ki2 ni useful....bahati mbaya sana mm sio pure programmer ..niligusa izo mambo kidogo (kama coarse tu) enzi nasoma.
bt worry not nina best yangu ni real programmer na hata Github ana projects kama3,nitamgusia aongeze nguvu
bt naomba wengine wajitokeze..hapa hapa iwe project itakayo nufaisha hata taifa hususainj kuokoa watu na sheria za mtandao.
ila kwakuanzi unge list tools unazo ona zingefaa ili mtu kama yupo familiar nazo nirahisi kujitokeza ku team up.
mfano:
mm nilipendekeza node coz ina trend kuliko php so easly other companies ku adapt.
...Then ukisha list uanze kwa kufungua hata jina la project huko Github..member mmoja atakuja na wengine toka hapa hope watakuja coz ni open source.
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa faida ya wengi ungefafanua how > neural networks works tofauti na words match....Okay mkuu. Nmekupata..
Kutokana na solution nliokua nmesuggest hapo juu basi tusitumie php, but tutumie moja kwa moja node.js, kama tungetumia php basi tungetumia ajax na json kufetch data na responses from the server. Ila nakubaliana na ww kwamba tech companys nyng kwa sasa zinatumia Javascript(nodeJs).
So kwa mm nnavyoona requirements zinaweza kuwa hizi
-node.js (ili kuwasiliana na server + database coz hyo maneno yatatunzwa kwenye database)
-brain.js (hii ni javascript library [Actually it is npm module] ambayo inatumika kutengeneza neural networks in js: neural networks zitakuwa trained kufahamu muktadha wa matumizi wa hilo neno na kuruhusu aidha neno litumike au la)
-Mysql (Hii ni kwaajili ya ku query database)
-Vue.js au hata normal HTML na Css(lazma mtu awe anajua DOM: Ili tutumie kutengeneza simple user interface)
Ni hayo tu. Ila hapo the main issue ni kujua javascript na html and css tu.
hiyo option ya A.I nadhani ndo best zaidi...je ku implement haitochukua mda zaidi , tofauti na words match?Ila kama pia unataka framework iweze kusuggest maneno mtu anapoandika, hio pia inawezekana kwa kuongeza utundu kdg
Time is not an issue coz am somehow experienced in A.I with brain.jshiyo option ya A.I nadhani ndo best zaidi...je ku implement haitochukua mda zaidi , tofauti na words match?
...>>kingine tutoe mda kwa wasio pitia uzi huu waje..na atakae onyesha interest basi atajumuika otherwise hakuna interest ya wengine kujitokeza....tuta tafta other means hata sponsors ukienda na wazo hili ni rahisi mtu ku fund coz linamantiki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hi, mkuu naomba tuwasiliane nilitaka kukutumia sms (pm) bt iz not working. We need to talk.Time is not an issue coz am somehow experienced in A.I with brain.js
Sema tu tusubiri mawazo mengine labda inawezekana A.I is not necessary
Ngoja tuone mawazo ya wengine pia
Hi, mkuu naomba tuwasiliane nilitaka kukutumia sms (pm) bt iz not working. We need to talk.
Sent using Jamii Forums mobile app