Tumbili wa Mjini
JF-Expert Member
- Jul 23, 2023
- 3,957
- 8,205
- Thread starter
- #141
Tatizo nina mpenzi mimi itakua vigumu sistaNipo tayari nikufuate popote unione mpenzi
Tatizo nina mpenzi mimi itakua vigumu sistaNipo tayari nikufuate popote unione mpenzi
Juma lokole alianza hivihiviNipo tayari nikufuate popote unione mpenzi
Kuwa na adabu kijanaWatoto wazuri mnanililia sijui mimi ni handsome wa jf
😀😃😃Jibu mujaarabu Kabisa hiliJuma lokole alianza hivihivi
Unanionea wivu kwakua nampenda etyyJuma lokole alianza hivihivi
UtagongwaUnanionea wivu kwakua nampenda etyy
Ma love ujue mtoto wakike silali kisa wewe 😢😢Tatizo nina mpenzi mimi itakua vigumu sista
Unaniombea kifo ili uwe naeUtagongwa
Mwanetu unajitekenya na kucheka mwenyewe sioUnanionea wivu kwakua nampenda etyy
Shem vipiMwanetu unajitekenya na kucheka mwenyewe sio
Mimi sio shemeji yako mkaliShem vipi
Nyashi lipo lakini? Ndio wewe kwenye picha nianze kukufikiria???Ma love ujue mtoto wakike silali kisa wewe 😢😢
Mi nimetongozwa kama mara nne hivi na mademuKama mtoa mada ni mwanamke basi atakuwa kavunja record ni ngumu sana kwq mwanamke kumtongoza mwanaume ngumu sana asee!
Eeh nakufata pm unipe visa mkuuu duuh!Mi nimetongozwa kama mara nne hivi na mademu
Afungue uzi wote tupate maujuziEeh nakufata pm unipe visa mkuuu duuh!
Hahaha mkuu mtoa mada umemjibu?Afungue uzi wote tupate maujuzi
Nimemjibu ila nitaendelea nipo naelekea mawenge na hii fj cruiser yanguHahaha mkuu mtoa mada umemjibu?
Ni ID moja lakini we listen, we don't judge🙌🏻Kuna watu watasema ni ID moja
Acha umbea BhanaEeh nakufata pm unipe visa mkuuu duuh!