Baba Kisarii
JF-Expert Member
- May 7, 2024
- 2,273
- 3,611
Una uhakika huyu ni binti?
Una uhakika huyu ni binti?
Mfundishe kudanganya 😂Tumbili wa mjini hata kudanyanya huwezi maskini ya Mungu.
Kumbe ndio huwa mambo yanakua hivi e 😂😂😂😅😅😅
Utoto bhana yaani huyo ni Tumbili wa mjini kaamua kuja na I'd nyingine ya kike.
Yeah kabisa aisee.Hata mimi nimeshangaa ila haya mambo uwa yapo unakuta mwanamke anampenda jamaa kupita kiasi alafu jamaa hana mawazo kabisa, ingawa ni nadra sana kutokea na wanaume wachache sana wenye bahati inawatokea hivi
Wademu wachache sana wanawatongoza wanaume ngoja tuone jamaa Tumbili wa mjini atakavyojibuYeah kabisa aisee.
Na hivi umegundua Wazee hatuna mbio ndiyo umeamua kututesa kukimbia kama Usain Bolt 🙌ngoja nijiambie iviii,,,binti kiiiiimbia na usigeuke nyuma🏃🏾♀️🏃🏾♀️🏃🏾♀️
Yeah wacha tusubiri mkuu 😅Wademu wachache sana wanawatongoza wanaume ngoja tuone jamaa Tumbili wa mjini atakavyojibu
Ni hatari kakaYeah wacha tusubiri mkuu 😅
Kusagana.....HAA🙄🙄
Nini kinaendea hapa?
Tumbili mrembo wangu!!?? 😇😇
Yetu Macho 👀👀Kumekucha
Na Masikio 😅😅Yetu Macho 👀👀
Swadakta 👍🏾Na Masikio 😅😅
Ana pumbu za buluu kama uchumi????Tumbili mwenyewe sasaView attachment 3216983
Hahahaha 😂 😂 😂 😂 😂,,,,Na hivi umegundua Wazee hatuna mbio ndiyo umeamua kututesa kukimbia kama Usain Bolt 🙌
Muwe na huruma na Wazee
Pumbu za ubluu zinawakilisha uchumi wa bahari kama unavyowakilishwa miongoni mwa rangi zile 4Tumbili mwenyewe sasaView attachment 3216983
Salama kabisa, ni baridi tu ndiyo linatusumbua Wazee wenuHahahaha 😂 😂 😂 😂 😂,,,,
Umeamkaje
Mtu anajifurahisha nafsi sisi nibakina nani tumpinge hahaUtoto raha sana
Kwani mafuta yameisha?🤣Salama kabisa, ni baridi tu ndiyo linatusumbua Wazee wenu
Hujambo lakini?