Mitandao yote ni majanga tu hao airtel wamepotezea 28000/ yangu toka mwezi wa sita mwaka jana mpaka leoAirtel money wanajitahidi sana
Mitandao yote ni majanga tu hao airtel wamepotezea 28000/ yangu toka mwezi wa sita mwaka jana mpaka leoAirtel money wanajitahidi sana
hiyo yako inaweza ikawa imepotea kwa bahati mbaya labda system imeteleza kidogo, ila hii yangu japo ni ndogo sana ila ni mtu mmoja tu ameamua kuizuia ili kunikomoa tu, maana anajua sina pa kulalamika. Anaitwa Neema Joseph.Mitandao yote ni majanga tu hao airtel wamepotezea 28000/ yangu toka mwezi wa sita mwaka jana mpaka leo
Wape notes ya mahakamani. OverMitandao yote ni majanga tu hao airtel wamepotezea 28000/ yangu toka mwezi wa sita mwaka jana mpaka leo