Msaada jamani nataka Ku update kutoka window 8.0 kwenda window 8.1 .naomba msaada ili niweze Ku update my PC nimejaribu kuingia kwnye store inaniambia this iz not avalaible on your PC...lakin hili tatizo limenza baada ya Ku activate windw
kumbe windows yenyewe ya wizi halafu unataka ku update kupitia store? mfano wake ni kama unaiba maji halafu unawafata dawasco wakuekee bomba kubwa zaidi.
nenda torrent huko ndio utapata 8.1 ya kichakachuzi,