To My Archduke

To My Archduke

twende kule bhana nimechoka sasa mara huku mara kule concentration inapotea najua unajua....utanikuta nakusubiri
Aya mpenzi wangu nakimbia chap but hujanijib had dakika hii usifanye vile naomba niko chini ya miguu yako eh
 
Hahahahhaha yan leo niko na furaha
And why not Madame!?
Sasa zile safari zako za adventure za kuvuka kivuko cha Pangani(sijui kama kipo kipya saivi) na kwenda Kipumbwi na Sakura, safari za kwenda Duga Maforoni na Mabokweni hadi Zingibari, safari za kwenda Machame juu kul wanapoanzia kupanda mlima Kilimanjaro au Marangu kwenye geti la kupanda na kushuka pia, au ukienda Arusha National Park kama utaona Manyara ni mbali safari hizo mchukuzane na shemeji yetu Archiduke
 
hahahahhaha Archduke ataenda kule naenda, nilipo yupo, alipo nipo, we are like twins ngumu kututenganisha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom