Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,438
- 100,722
Poleni sana ndugu zangu "Wapendwa" nawapa pole nikijua kuwa mlio wengi hamkuwahi kuwaza kujikuta katika hali hiyo. lakini pole zaidi kutokana na maneno ya kashfa mnayoyapata kuanzia kwa watu wasio na ulewa hadi kwa wale wenye madaraka makubwa nchini, eti kwamba kupata kwenu UKIMWI ni kiherehere chenu; mimi nakataaa.
Naomba sana soma Speech hii, na kisha mpelekee na mwingine, kijana huyu aliwatoa machozi UN sijui huyu anaewakashifu kama aliiona hii.
http://www.beholders.org/spirit/inspirationalpeople/110-nkosijohson.html
Mimi nadhani ilikuwa inawahusu watu wazima wenye akili zao na wenye kufanya uzinifu na si wale watoto wadogo walio ambukizwa kutoka matumboni mwa mama zao.Poleni sana ndugu zangu "Wapendwa" nawapa pole nikijua kuwa mlio wengi hamkuwahi kuwaza kujikuta katika hali hiyo. lakini pole zaidi kutokana na maneno ya kashfa mnayoyapata kuanzia kwa watu wasio na ulewa hadi kwa wale wenye madaraka makubwa nchini, eti kwamba kupata kwenu UKIMWI ni kiherehere chenu; mimi nakataaa.
Naomba sana soma Speech hii, na kisha mpelekee na mwingine, kijana huyu aliwatoa machozi UN sijui huyu anaewakashifu kama aliiona hii.
http://www.beholders.org/spirit/inspirationalpeople/110-nkosijohson.html
Ushindwe kabisaa tena mrudie Muumba wako. Kama hii imekugusa nenda ukatubu mkuu 🙂 Pia rekebisha mwenendo wa maisha yako! Nakushauri usipende kujisemea vitu kama hivi, kumbuka mdomo huumba! If you wish so...it shall be done...be careful with every word that comes out of your mouth 🙂Very painful, God forbid ! Just punish us Big pigs not innocent chidren
Nimesikia kuwa zipo madukani, naskia hata dar zipo but am not sure kwa kweli labda kama kuna mtu mwenye taarifa sahihi zaidiNi jambo la kuhuzunisha Ila naomba kuuliza ile issue ya kugunduliwa dawa ibaendeleaje maana ingetuponya