To be honest, ni wachache sana wanaoukubali utawala huu

MAHANJU

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2014
Posts
5,255
Reaction score
8,027
Nimejaribu kufuatilia kila koma watu wanalalamika tu, ni wakulima,ni watumishi wa umma, ni wafugaji, ni wanafunzi.

Sasa ni swali la kujiuliza, je, na hawa nao walikua mafisadi? Sasa wafugaji,wakulima na wanafunzi nao wana kosa gani mpaka kama mashetani?
 
To be honest , ni Watanzania Wengi sana wanaoukubali huu utawala.
 
Nimejaribu kufuatilia kila koma watu wanalalamika tu, ni wakulima,ni watumishi wa umma, ni wafugaji, ni wanafunzi.

Sasa ni swali la kujiuliza, je, na hawa nao walikua mafisadi? Sasa wafugaji,wakulima na wanafunzi nao wana kosa gani mpaka kama mashetani?
you sound kama mangi fulani. usijali sana hata mimi ni mangi. anyway nijuavyo mimi waliokua wanafaidika na mfumo wa upigaji dili rushwa na uzembe serikalini wana hasira ya kuua mtu na serikali ya jpm. hawa ni wachache ila wanapiga kelele kwelikweli. wengi ni wale wanasema wao wanajitambua.
 
Cha ukucha ulichopiga asubuhi hii nouma, we huna uwezo wa kufatilia kila kona. Kama ungekuwa nao Si ungeutumia huo uwezo Ili wasilalamike.

fanya kazi utasogea kuliko kufatilia kila Kona. We unaweza kuanzisha thread Tu Na kuchonga ngenga.
 
you sound kama mangi fulani. usijali sana hata mimi ni mangi. anyway nijuavyo mimi waliokua wanafaidika na mfumo wa upigaji dili rushwa na uzembe serikalini wana hasira ya kuua mtu na serikali ya jpm. hawa ni wachache ila wanapiga kelele kwelikweli. wengi ni wale wanasema wao wanajitambua.

Wapiga dili wako tena wameongezeka,ufisadi uko pale pale na Ujangili ndio umekithiri.
Sasa hv ukishikwa na meno ya tembo unalipa faini tu.
 
Nimejaribu kufuatilia kila koma watu wanalalamika tu, ni wakulima,ni watumishi wa umma, ni wafugaji, ni wanafunzi.

Sasa ni swali la kujiuliza, je, na hawa nao walikua mafisadi? Sasa wafugaji,wakulima na wanafunzi nao wana kosa gani mpaka kama mashetani?
Kila kona gani? Mbona hujakutana nami? Ningekuchana wewe!
 
Nimejaribu kufuatilia kila koma watu wanalalamika tu, ni wakulima,ni watumishi wa umma, ni wafugaji, ni wanafunzi.

Sasa ni swali la kujiuliza, je, na hawa nao walikua mafisadi? Sasa wafugaji,wakulima na wanafunzi nao wana kosa gani mpaka kama mashetani?

Tuseme hivi. Si kweli utafiti wako ni wa kweli.KULALAMIKA si KUCHUKIA utawala. Kumlalamikia baba mzazi kwa kutokubaliana na wazo lako, hakukufanyi. KUTOMKUBALI baba yako,bali mmetofautiana KIMAWAZO!

Ninachotaka kukisema ni kuwa. Unaweza ukawa na ka ukweli kuwa kuna malalamiko ya STAILI yake ya kiuongozi maana ni MPYA kwetu. Lakini haimaanishi. WENGI WANAMCHUKIA rais Magufuli.

Malalamiko ni MAZURI maana humfanya mtu aangalie
mahali "PANAPOHITAJI MAREKEBISHO.

Maana Rais AKISIFIWA sana kwa kila jambo basi HATAJUA ni wapi AMEKOSEA AREKEBISHE". Kwa hiyo SI kweli kuwa WENGI hawaukubali utawala wake, bali wanataka ama wanaomba mambo kadhaa YAREKEBISHWE!
 
Siongezi kitu maana kiti kizuri akijuaye ni tako!
 
On behalf of myself and people of Tanzania haturidhishwi na huu utawala
People of Tanzania???? Labda wewe na mkeo aliyekuwa anafaidika na Dili zako but most of Tanzanians are so happy kwa style ya uongozi wa mh Rais,
1: wakulima wameshapelekewa pembejeo,
2: mishahara inapatikana kwa wakati kuanzia 20 mpaka 25.
3: usafirishaji mizigo kwa treni bei rahisi salama na uhakika.
4: Air Tanzania inarudi japo mdogomdogo
5: mfumuko wa bei bado uko chini.
Mfano mzuri bei ya mafuta petrol
6: Bei ya chakula mfano mzuri kilo ya mchele.
7: uwajibikaji kwa watendaji wa na watumishi wa umma.
9:........................
10:.........

Hongera sana Mh Rais endelea na kasi hiyo hiyo. Kwa wenye husda hata ukicheza kwenye maji watasema unawatimulia vumbi.
Acha waisome. Namba.!!
Hon
 
Back
Top Bottom