Its an unfair end to the good man... Atleast ndio kiongozi aliyethubutu kuwaambia ukweli waarabu wenzie kuwa ni waoga na wanafiki..
Pia alitamani afrika iwe kitu kimoja na kuwa na sauti...
But the world does no longer need honest and free monded people...
Gadafi pole sana.
Gadaffi huyu huyu alimsaidia Idd Amin kwenye vita vya kagera dhidi ya Tanzania, leo wewe Mtanzania unamsifia wakati aliua ndugu zetu kule Kagera! duh haya ndo hivyo malipo hapa hapa duniani! endelea kumpenda wakati aking'olewa
Wakati wabongo mnamlilia Gadaffi watu wake aliowatawala kwa miaka 42 wanashangilia kuondoka kwake.
Mseveni aliwambia wapinzani wake kuwa kwotapin inaingizwa kwenye baisikeri na nyundo na utolewa na nyundo.
Umenigusa sana na mada yako. Ninapoona waasi wanaosaidiwa na nchi za magharibi wakisonga mbele didhi ya Gadaffi huwa naumia sana. Binafsi naamini amefanya mengi mazuri sana. Ni kweli mapungufu yapo, na naamini hamna anaebisha kwamba kutawala watu wengi kama nchi ni lazima utumie aina fulani ya utawala kama (e.g. autocratic, democracy, leizure fair) kutemegemeana na situation ili mambo yaende. Alitumia mabavu kiasi fulani na mambo yakaenda kama tunavyosikia mambo yao ni mazuri ukianzia kilimo, elimu, infrustructure etc.
Nisingekuwa na shida sana kama hao waasi wangekuwa ni mawazo yao binafsi kinchi na sio mtazamo wa kifikra wa kimagharibi. Kuna gazeti sikumbuki ni lipi kati ya Tanzania daima au MwanaHalisi (mwenye habari kamili tafadhali naomba utujuze) liliwahi kutoa historia ya jinsi nchi za kimagharibi walivyofundisha waasi kwa nyakati tofauti ili wamng'oe Gadaffi tangu kipindi cha mwanzoni mwa miaka ya 80's.
Namalizia kwa kusema Change is Inevitable lkn inategemea ni mabadiliko ya namna gani na yenye nia gani
Its an unfair end to the good man... Atleast ndio kiongozi aliyethubutu kuwaambia ukweli waarabu wenzie kuwa ni waoga na wanafiki..
Pia alitamani afrika iwe kitu kimoja na kuwa na sauti...
But the world does no longer need honest and free monded people...
Gadafi pole sana.
Unafki mbaya sana..!si alikuwa anatoa misaada misikitini mbona allah hamsaidii muda huu anamwacha anakula kichapo ,nimeamini mungu wa Gadafi aka allah ni mdhaifu sana !inamaana kazi ya kujenga mosque that gadafi did ,mungu wake aka allah kaona ni ujinga tu na hakumpa thawabu'!poor gadafi !i hate gadafi ,killed my grandpa at kagera war with that fool Idi amini!
ww nishaka tupu eti na ww unaelimuni mtazamo wake, unajuaje pengine wana undugu...
bora kuwa nakiongozi kama ghadafi kuliko walizi wa jailo na wauza madini ya nchi yetuhao wanaoshangilia ingelikuwa inawezekana tungebadilishana nchi wao waje bongo waongozwe na rais wetu bila ya kumwaga damu (kwa maana wamemchoka gadafi) na idadi kama inayompinga gadafi waende libywa wakaongozwe na gadafi
Its an unfair end to the good man... Atleast ndio kiongozi aliyethubutu kuwaambia ukweli waarabu wenzie kuwa ni waoga na wanafiki..
Pia alitamani afrika iwe kitu kimoja na kuwa na sauti...
But the world does no longer need honest and free monded people...
Gadafi pole sana.
Its an unfair end to the good man... Atleast ndio kiongozi aliyethubutu kuwaambia ukweli waarabu wenzie kuwa ni waoga na wanafiki..
Pia alitamani afrika iwe kitu kimoja na kuwa na sauti...
But the world does no longer need honest and free monded people...
Gadafi pole sana.
Hata mimi nampenda Gaddafi -- labda hasa kwa kitu kimoja kikuu kwamba alikuwa upright, alikisimamia kile alichokiamini. Hakupenda kuwa kibaraka wa Wazungu kama vile serikali ya hawa waasi itakavyokuwa kwani ni lazima walipe fadhila, kazi waliofanya NATO si mchezo, ni lazima Libya ilipe. Kwa mfano kuna lontract za ujenzi ya miundombinu iliyoharibiwa na ndege za Nato, mara nyingi kimakusudi tu ili baadaye zipatikane hizo kontract kwa makampuni ya nchi zao katika kufufua uchumi wao unaodorora!
Gadhafi kama binadamu yoyote ana mazuri yake na at the same time ana mabaya yake. Nina imani Gadhafi angeendelea kuwepo madarakani endapo angesoma na kuzifanyia kazi alama za nyakatiIts an unfair end to the good man... Atleast ndio kiongozi aliyethubutu kuwaambia ukweli waarabu wenzie kuwa ni waoga na wanafiki..
Pia alitamani afrika iwe kitu kimoja na kuwa na sauti...
But the world does no longer need honest and free monded people...
Gadafi pole sana.