TMT ya Lwekaza fisadi anasoma risala!

So inakuwaje sie tulikuwa tunacheki show mengine yakwao, kivyenu
 
Mleta mada haeleweki na tunaona ana muelkeo wa kuvaa sketi Wivu
 


Sura zao ni za kinyarwanda? unamaanisha nini,? fisadi ni fisadi tu,ila acha ubaguzi wa watu,huyo ni mhaya kutoka kagera,na wahaya wengi lazima watakuwa na mfanano kiasi fulani na jamii wanazo pakana nazo katika nchi jirani,rwanda,burundi ,uganda, sasa wewe ulitaka afanane na raia wa msumbiji,?

Tembea kidogo hapa nchini,utajua jinsi makabila mbalimbali yalivyo na uhusiano na jamii za mipakani za nchi jirani,fika mtambaswala,mtwara wilaya ya nanyumbu karibu na daraja la umoja,wenyeji wa pale wanaongea hata kileno,kuna machotara kibao wa kileno,je hao nao tuwatilie shaka?
 

Usemayo nikweli ndg yangu nani alaumiwe? Ikiwa serikali yako uliyoipa dhamana ya kukutawala...Imeomba chenji tu kisha watu watu wanadunda mitaa mimi Raia ntakuwa nanini chakusema....Cmaanishi nafurahia huo wizi lkn wanaopaswa kulikomesha hili wanagonga nao MVINYO....naamini umenielewa hapo..
 

Mkuu ukianza kuulani uRAIA pacha kuna watu wanaweza kukula nyama..manake mambo aliyofanya Balali ndio wanayatamani...
 
hii familiia ya kina rwekaza ni hatari sana.
 

JF ni mahali ambako kuna watu wa kila kada
unapokuja hapa kujitapa kuwa umehusika kwenye upelelezi wa kesi ya mtu ambaye hata jina lake huwezikulitaja inashangaza.
Huyo jamaa anaitwa Johnson Lukaza na si Lwekaza kama ulivyoandika mengine ngoja nikuvutie kasi ila nakushauri punguza uongo
 
Sasa kama wana kesi kwanini usisubiri iishe,na kama waliiba GGM we zina kuuma nini?kwani ni za Watanzania?na wewe kwa kuandika hivyo unapendekeza nini kifanyike?yaelekea una beef nao binafsi na unataka kushirikisha watu wakuunge mkono
 

Huko kutoa hizo pesa ni njia ya kutayarisha mazingira ya kupata msamaha wa Rais kwa yale mapesa ya EPA waliokwapua. Kumbukeni kuwa hawa jamaa walikuwa karibu sana na Rais na mara nyingi katika safari zake za nje alikuwa anaambatana nao, hivyo wanachofanya sasa ni kurudisha baadhi ya hizo pesa kwa mlango wa nyuma li kesi yao ifutwe!!! Kesi za EPA zinazowahusu Lukaza brothers na Jeetu Patel hazisikilizwi mahakamani na zitapigwa tarehe mpaka mwisho wa utawala huu wakati wakina Maranda, Farijalla na Manase Mwakale wanaozea jela!
 

Nikweli mkuu so nani alaumiwe,,,!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…