Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,869
- 29,059
Mwaka huu TMA kachana sana mikekå
Hapo anayefanya siasa ni Mimi au TMA?Ukileta siasa kwenye mambo ya kitaalamu utakuja ubebwe na kimbunga siku za usoni wewe endelea tu
utabiri wa hali ya hewa hutimia tu endapo all factors remain constant saivi tuko kwenye janga la mabadiliko tabia nchi jambo lolote linatokea muda wowote bila taarifa yeyote
Wewe pumbavu,unauliza swali kama upo chooni! Kama hujui wanachotakiwa kusema kaa kimyasasa hao TMA ulitaka waseme nini ili wewe uwaamini
Siyo kila mtanzania anatumia Internet. Tia akiliNenda kwenye Website yao utakuta hiyo taarifa mpya
Nadhani hujanielewa,nilichoongelea taarifa ya Mara kwa mara. Haijalishi taarifa zinabadirika kila Mara.Mwenendo wa Hali ya hewa unabadilika kila lisaa aisee usije ukawapuuza juu ya taarifa zao ila kilichotokea Msumbiji na Malawi ni ile kasi ya upepo iliyoleta Kimbunga imepelekea uelekeo kuwa tofauti na ilivyokuwa awali..! hujawai kusikia tunapata mvua kutoka katika misitu ya Congo? unadhani nini kinasabbabisha mpaka waseme vile? Leta ujuaji itakula kwako.
Dharau inazalishwa na Matendo ya muhusikaWatembelee mkuu ofisi zao ziko ubungo plaza ukajifunze kitu hauna haja ya kudharau kitu usichokijua
Kidogo sana umekujua.Meteorology is a very dynamic science.
All Meteorology experts in the world could not predict the recent
tsunami. Please do not blame our met guys as they are trying their best. Kenya and other parts of africa are facing famine but due to global climate changing, they could not predict even that.
najua ni utaalamu unatumika na hatuupuuzi. sasa inapotokea mkulima akajipanga hivi halafu ikatokea vingine inachangaya sana, inafaa updates za mara kwa mara.Mwenendo wa Hali ya hewa unabadilika kila lisaa aisee usije ukawapuuza juu ya taarifa zao ila kilichotokea Msumbiji na Malawi ni ile kasi ya upepo iliyoleta Kimbunga imepelekea uelekeo kuwa tofauti na ilivyokuwa awali..! hujawai kusikia tunapata mvua kutoka katika misitu ya Congo? unadhani nini kinasabbabisha mpaka waseme vile? Leta ujuaji itakula kwako.