Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,017
- 9,885
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhali ya kuwepo kwa mvua kubwa kwa mikoa iliopo mwambao wa bahari ya Hindi kuanzia Aprili 12 hadi Aprili 14, 2022.
Taarifa ya TMA iliyotolewa leo Aprili 11, 2022 inaonyesha kuwa mkoa inayoweza kukumbwa na mvua hiyo ni Dar es Salaam, Pwani (ikihusisha Visiwa vya Mafia), Mtwara na Lindi pamoja na Visiwa vya Unguja na Pemba.
Madhara yanayotarajiwa ni pamoja na makazi kujaa maji na kuathirika kwa baadhi ya shughuli za kiuchumi