kwa mjibu wa taarifa iliyotolewa na mamlaka ya hali ya hewa nchini ni kwamba hali ya mvua nchini ni mbaya, ingawa serikali ya chama cha mapinduzi imekuwa ikisisitiza kuwa mvua zipo za kutosha hivyo watu wafanye kazi wasibweteke na kusubili chakula cha msaada.
hapa kasi tu,
chanzo: TMA
hapa kasi tu,
chanzo: TMA