Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,172
CNN wanafanyaga hivo mkuu.nakubaliana nawe katika mambo ya awali, kuwa mvua ikinyesha hiyo wanayosema El nino, basi TMA itwakuwa imeweka historia kwa kutabiri ukweli maana siku zote utabiri wao huwa vice versa.
Katika hilo la pili kuweka utabiri kideoni kabla ya Habari, mhhhhh kwangu mie the big NO! Labda unipe mifano halisi
CNN wanafanyaga hivo mkuu.
Tangu nianze kufuatilia utabiri wa hewa kwenye redio Tanzania na sasa redio zengine na TV pia, mamlaka ya hali ya hewa TZ imekuwa na kasumba ya kutabiri mabadiliko ya hali ya hewa na kupata matokeo kinyume. Mamlaka hii pia ni dhaifu kwa kuwa inaruhusu wenye redio na TV kutangaza utabiri wa hali ya hewa baada ya taarifa ya habari. Hii ya pili ni utartibu mbofu kwa kuwa watu wote duniani wanakuwaga na usongo wa kutizama fideo pale taarifa ya habar ikikaribia, wote familia wanajongeaga sebuleni, hata walevi wa baa wanasogeaga pia. So kama TMA wangekuwa sirias wangefanya mpango wewe TV wasome utabiri wa hali ya hewa dakika 5 kabla ya habari kwa kuwa muda huo kila mtu nyumbani huwa jcho kideoni. TMA jipangeni. Lakini kama kweli mwez wa kumi zitapiga el ninyo ni jambo la kusubilia na kama litatimia, teknolojia ya Tanzania itapanda kwenye medani za kimataifa. Na JK ntampongeza kidogo.
nakubaliana nawe katika mambo ya awali, kuwa mvua ikinyesha hiyo wanayosema El nino, basi TMA itwakuwa imeweka historia kwa kutabiri ukweli maana siku zote utabiri wao huwa vice versa.
Katika hilo la pili kuweka utabiri kideoni kabla ya Habari, mhhhhh kwangu mie the big NO! Labda unipe mifano halisi ya nchi ama runinga za kimataifa zinazofanya hivyo. kwa sasa ondoa kabisa CNN, Al Jazeera, CCTV, BBC, Sky, RT, Fox na MSNBC sababu zote hizi nina uzoefu nazo na utabiri wake upo ama katikati ya habari ama mwishoni na sio mwanzoni.
Waiting hearing from you Sir!
Mkuu, unafikiri kwanini utabiri wa hali ya hewa huwa ama katikati au mwishoni mwa taarifa ya habari? Ivi ikiwa mwanzoni mwa taarifa ya habari, kutakuwa na ubaya gani? Katika hili nilazima kweli tufanane na CNN, Al Jazeera, CCTV, BBC, Sky, RT, Fox au MSNBC? Tubadilike vinginevyo hii copy & paste itatumaliza, mpaka utabiri wa hali ya hewa!?!